Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

Kwanini mnamwamini kristo na bado hamumfwati ila mnamfwata mtume Muhammad !?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hatutofautishi baina ya Mtume Muhammad Salla Allahu alyhi wasalaam na Yesu aleyhi salaam, wote ni Mitume wa Mwenyeezi Mungu kama ilivyokuwa kwa Ibrahim, Musa, Yusuf na wengineo.

Kila mmoja alikuja kwa kipindi chake na kwa mipango ya mwenyewe Mwenyeezi Mungu.

Mtume Muhammad salla Allahu alayhi wasalaam akawa wa mwisho na kaja akashushiwa Qur'an atuletee.

Qur'an 2:

2_136.gif

136. Semeni nyinyi: Tumemuamini Mwenyezi Mungu na yale tuliyo teremshiwa sisi, na yaliyo teremshwa kwa Ibrahim na Ismail na Is-hak na Yaakub na wajukuu zake, na waliyo pewa Musa na Isa, na pia waliyo pewa Manabii wengine kutoka kwa Mola wao Mlezi; hatutafautishi baina ya yeyote katika hao, na sisi tumesilimu kwake. 136
 
General Knowledge.

Naam, kama kichwa cha habari kinavyojieleza.

Natumia fursa hii ya mtandao adhyim wa JF kuwapa fursa wanamtandao wote wapate fursa ya kuuliza kuhusu mada au jambo lolote ambalo unataka upatiwe majibu.

Si majibu yote yatatoka kwangu binafsi, bali nitajitahidi iwezekenavyo kukupatia majibu murwa na yanayolingana na swali lako na ambapo sina jibu itakuwa fursa kwa wengine kutoa majibu.

Hapa ni kwa ajili ya kuelimishana na kujuzana bila kikomo, iwe swali lolote liwalo.

Update 1:
Tafadhalini tuulize maswali kiheshima . Heshima ni kitu cha bure na hii JF yetu pendwa inasomwa na wengi, tujiheshimu.

Update 2:
Siku kadhaa zimepita toka tuanzishe uzi huu na nimesikitishwa na aina ya maswali yanayoulizwa kwenye huu uzi.

Tumetowa fursa ya kuulizana na kila niwezapo kujibu au kutafuta majibu muafaka kutokana na hayo maswali na fursa ya wachangiaji kujibu maswali yatakayojitokeza ya "general knowledge" lakini hadi hii leo ni maswali machache sana yenye faida kwa wengi yameulizwa. Maswali yaliyojaa ni amma ya kutaka kuanzisha ubishi "ligi" na amma yamelenga mtu binafsi, hususan amelengwa mleta mada. Ni masikitiko makubwa sana.

Nnawashauri wote waliouliza maswali yenye kulenga binafsi na wale waliouliza maswali yenye kubomoa badala ya kujenga wabadilike na waanze kuuliza maswali yenye kujenga, kuelimisha, kutujaza hekima na maarifa.

Nilipoweka aina ya elimu niliyoisomea nilidhani ntakumbana na kibano kikali kuhusu hilo na nijibu ili iwe faida kwa wengi lakini kwa bahati mbaya au nzuri hakuna hata mmoja aliyeuliza swali lolote kuhusu hilo.

Isitoshe, mna fursa ya kuuliza kuhusu chochote. Ndege, mimea, dunia, sayari, nyota, maajabu, maswali yasiyokuwa na majibu, viumbe kwa ujumla vinavyojulikana na visivyojulikana, maajabu ya duniani, elimu na vitu vingi kama hivyo na vinginevyo.

Nnauhakika wale walioleta maswali ya kiajabu ajabu ya ubishi wana mengi sana ya kuuliza yanayoweza kuwapa faida wengi na kuna wengi kati yao wana mengi wanayajuwa na wanaweza kuchangia kwenye majibu kwa faida ya wengi.

Ombi langu kwa wote ni tuboreshe aina ya maswali na majibu.

Karibuni.
Maswali yangu;
1: What's your hobby?.
2: How many children do u have?
3: Are u over 40 years old?
4: What do u hate the most?
5: What's your most regret?
6: Do u have grand children?
7: What's ur great achievement?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maswali yangu;
1: What's your hobby?.
2: How many children do u have?
3: Are u over 40 years old?
4: What do u hate the most?
5: What's your most regret?
6: Do u have grand children?
7: What's ur great achievement?

Sent using Jamii Forums mobile app

1) Learning
2) Not relevant, many AlhamduliLlah
3) Discriminatory but Yes.
4) Nothing
5) None what so ever.
6) Yes
7) Being very close with my family
 
Safi sana.

Nadhani kwa kupitia baadhi ya Majibu naweza kukuita Mama yangu...Heshima kwako.

Nina Maswali Mengi ya kuuliza,Mosi Shukran sana kwa kutoa nafasi ya kuulizwa Maswali.

Nitauliza Maswali au kuandika Maswali kwa awamu-awamu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1.What Two Questions Would you ask to get the Most information about who a Person truly is..?

By What standard do you judge yourself...?

2.Does Absolute Power corrupt Absolutely...?

3.How Replaceable are you..?
How long will you be remembered after you die..?

4.Is there such a thing as absolute morality...?

5.What important truth do very few people agree with you on...?

6.Are Region and science compatable..? Why or Why not.

7.Which is easier -to love or be loved..

8.Does Democracy work for Every country...?

9.What is the Meaning of life and purpose of life...?

10.If God is "good" Why is there so much evil in the World...?

Side A.

Hahahabahaha mm
naweza kujibu namba 8
The word democracy was said along time ago and well defined by Abraham Lincoln but never existed in this world
Some people think democracy is just free of speech transparency and free and fair election only and forget about decision making for example that time America wants to invade Iraq it was not people's decision only people with power decide.

Not peoples power just people's with power decide what to do and how so that they can benefit

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Side B,

1.Mshairi na Mwanafasihi Tiban Liyong baadhi ya vitabu vyake- The last Word,Another nigga dead aliwahi kusema kwamba Africa Mashariki ni Jangwa la Usomaji hiyo ikiwa ni Mwaka1969,

Lakini Wanazuoni na Wasomi wa wakati huo walimpinga sana huku akishumbuliwa kwa maneno Makali...

Sasa imepita miongo minne na zaidi,
Swali,

a) Wewe Waonaje hali ya Usomaji wa vitabu nyakati hizi kwa Wanaafrica Mashariki..???

b)Nini Nafasi ya Usomaji vitabu katika kuleta Maendeleo ya Mtu binafsi na Maendeleo ya Taifa kwa Ujumla...?

2. Karume raisi wa kwanza wa Zanzibar aliwahi kusema "Muungano ni kama koti,Waweza kulivua likikubana" Haya yanapatikana katika kitabu cha Kwaheri Ukoloni Kwaheri Uhuru, kilichoandikwa na Harithi Ghassany.

a)Yapi Mapungufu Makubwa ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ..?

b) Wewe unamtazamo gani na maoni gani kuhusu Muungano,Muungano uvunjwe au Uimarishwe...?

c) Zipi faida na hasara za kuvunja Muungano..?

3.Ushawahi kuandika kitabu chochote kile kiwe cha Siasa,Uchumi,Mahusiano,Sayansi au dini,Michezo/Tamaduni na vinginevyo...?

a)Ipi hasara ya kusoma vitabu..?

b)Nini anakikosa Mtu asiye na utamaduni wa kusoma vitabu...?

4. Mwalimu Nyerere"Mchonga" katika moja ya hotuba zake aliwahi kusema huwa anatembea na biblia na kajitabu ka'azimio la Arusha akadai huwa anakasoma anakurudia hajaona pabovu kabisa.

a)Nini Maoni yako kuhusu Azimio la Arusha...?

b)Nini pungufu/kasoro kubwa ya Azamio la Arusha..?

c)Nini maoni yako Juu ya Oscar kambona Moja ya wapigania uhuru wa Tanganyika...?

4.Awamu ya Kwanza ya uongozi Tanganyika/Tanzania Mambo gani Makubwa ilifanikiwa na kosa gani kubwa ilifanya..?

a)Yapi Mapungufu ya Mwalimu nyerere katika Uongozi..?

b)Wewe unafikiri Mwalimu anapewa sifa anazositahili...?

c) Mambo gani muhimu ya kujifunza katika awamu ya Kwanza...?

5.Mimi Naamini Maendeleo bora huletwa na mawazo bora yaliyofanyiwa kazi,Mawazo bora hupatikana kwa kuwa na Elimu bora.

a)Mfumo Wetu wa Elimu unamapungufu gani Makubwa...?

b)Tume ya Makweta ya Mwaka 1982 Walipendekeza Lugha ya kiswahili itumike kuanzia ngazi ya Awali mpaka c huo kikuu lakini ilishindikana Nadhani ripoti zitakuwa zinakojolewa na Panya kabatini...Nini maoni yako kuhusu lugha ya kufundishia kitumike Kiswahili au kiingereza na kwanini...? au vyote kama ilivyo sasa...?

c)Wewe unadhani Elimu katika Taifa letu inapewa kipaumbele kikubwa au imeachwa nyuma kama mkia wa Mbuzi...?

6.Mwanamama kutoka Zambia Dambisa Moyo Mwandishi wa Dead Aid na How the west was lost huku pia akiwahi kufanya kazi World Bank...Anasema na kutoa maelezo ya kuwa World Bank Na IMF hazina msaada katika kuinua chumi za Africa zaidi zinatuingiza katika mzigo wa madeni.

Unamaoni gani kuhusu World Bank na IMF katika kuinua uchumi wa Nchi Maskini haswa Nchi za Kusini mwa Jangwa la sahara..?

a)Ipi faida na hasara ya Mfumo wa Ujamaa...?

b)Ipi faida na hasara ya mfumo wa Ubepari..?

c)Tanzania yasasa tunafaata mfumo gani..?

d)Je kuna Mfumo bora zaiidi kuliko Ujamaa au Ubepari..?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1.What Two Questions Would you ask to get the Most information about who a Person truly is..?

By What standard do you judge yourself...?

2.Does Absolute Power corrupt Absolutely...?

3.How Replaceable are you..?
How long will you be remembered after you die..?

4.Is there such a thing as absolute morality...?

5.What important truth do very few people agree with you on...?

6.Are Region and science compatable..? Why or Why not.

7.Which is easier -to love or be loved..

8.Does Democracy work for Every country...?

9.What is the Meaning of life and purpose of life...?

10.If God is "good" Why is there so much evil in the World...?

Side A.

Sent using Jamii Forums mobile app
1) There are quite a few theories on probing. But I do not believe in direct "questioning" or rather probing could do the trick. To try and get the most out of someone is a process and has to be learned. Most important is to "win a friend", by wining someone to be your friend, you have opened for yourself unhindered trust. If someone trusts you they tend to open up easily, no matter what question you ask you will get the most out of it, just make your questions are open ended and not closed ones.

If you know how, believe you me you can gain someone's trust in just a few minutes.

Read Dale Carnegie's famous book "How to win friends and influence (influential) people".
 
1.What Two Questions Would you ask to get the Most information about who a Person truly is..?

By What standard do you judge yourself...?

2.Does Absolute Power corrupt Absolutely...?

3.How Replaceable are you..?
How long will you be remembered after you die..?

4.Is there such a thing as absolute morality...?

5.What important truth do very few people agree with you on...?

6.Are Region and science compatable..? Why or Why not.

7.Which is easier -to love or be loved..

8.Does Democracy work for Every country...?

9.What is the Meaning of life and purpose of life...?

10.If God is "good" Why is there so much evil in the World...?

Side A.

Sent using Jamii Forums mobile app
1b)

I never judge myself. It never occurred to me to "judge" myself.

However, I always think of each and everything I do and always find many gaps, major and minor, which calls for my own "self improvement". I pursue very hard ways of improving and correcting myself, almost always.
 
1.What Two Questions Would you ask to get the Most information about who a Person truly is..?

By What standard do you judge yourself...?

2.Does Absolute Power corrupt Absolutely...?

3.How Replaceable are you..?
How long will you be remembered after you die..?

4.Is there such a thing as absolute morality...?

5.What important truth do very few people agree with you on...?

6.Are Region and science compatable..? Why or Why not.

7.Which is easier -to love or be loved..

8.Does Democracy work for Every country...?

9.What is the Meaning of life and purpose of life...?

10.If God is "good" Why is there so much evil in the World...?

Side A.

Sent using Jamii Forums mobile app
2) So they say.

But as a Muslim I believe "absolute power" is Allah s alone.
 
1.What Two Questions Would you ask to get the Most information about who a Person truly is..?

By What standard do you judge yourself...?

2.Does Absolute Power corrupt Absolutely...?

3.How Replaceable are you..?
How long will you be remembered after you die..?

4.Is there such a thing as absolute morality...?

5.What important truth do very few people agree with you on...?

6.Are Region and science compatable..? Why or Why not.

7.Which is easier -to love or be loved..

8.Does Democracy work for Every country...?

9.What is the Meaning of life and purpose of life...?

10.If God is "good" Why is there so much evil in the World...?

Side A.

Sent using Jamii Forums mobile app
3) Never thought of that. I think, for me to be remembered is not important, what is important to me is "husnul khatima". Mwisho mwema wangu binafsi.

Ya Allah tuongoze tuwe na mwisho mwema. Aamiiin.
 
Je Ali karume kumnanga Fatma Karume ambaye ni binti wa mdogo wake wa damu imekaaje kimaadili?
 
Tofauti kat ya micro controller na microprocessor.?

Sent using Jamii Forums mobile app
Micro controller hutumika kwa shughuli maalum (specific purpose), mara nyingi huwa kila kitu (peripherals) kwenye "chip" moja tu.

Micro processor ni kama uionavyo kompyuta yako, unaweza kuongezea vifaa kazi (peripherals) nyingi nje na kwa mambo mengi tofauti (general purpose).

Simply put, microcontrollers are for specific purposes and microprocessors are for general purposes.
 
Back
Top Bottom