Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

Tena huko usiende kabisa kwa kuwa wewe kule tulipoanzia na hapa napo unajaribu kulitafsiri neno "Nikah" Kwa Kiswahili na kulifanya ni 'kuoa". Wakati aya haijaandika Kiswahili.

Tafsiri ya Kiswahili ni kusaidia tu wasiofahamu Kiarabu na si lugha ya Qur'an. Kumbuka hilo.

Kwa kukujuza tu hata Kwa Kiswahili, neno "kuoa" haliwezakani kuwa na maana mpaka kiwepo hicho cha kuoana nacho.

Huwezi kuvaa kamdambili na makubadhi ukasema vimeoana.

Kwa Kiarabu ndio kabisa ﺗُﻨْﻜَﺢُ. "tunkahu" haliendi peke yake ni uwingi. Tena Kwa kukujuza tu, neno hilo kwa Kiarabu nje ya Qur'an hutumika kama tafsida ya kujamiiana.

Huwezi kupata "aqd" (mkataba) wa "Nikah" kama hakuna mwenza wa kisheria.

Hiyo "nikah" utaifanyaje peke yako?

Neno kuoana ndiyo sahihi Kiswahili.

Mimi sijaolewa, nimeoana na mume wangu. "Zawaj".

Na Kwa kuwa wewe na mwwenzako anaejiita Zurri mnajidai mnakijuwa Kiarabu Kwa kupachika pachika vineno vya Kiarabu kutaka kunijaribu, sasa nawaambia hivi, tuuendeshe huu mjadala Kiarabu. Ya nini tuandikie mate na wino upo?

Naanza...

منذ الموضوع هو في القرآن الكريم، ونحن جميعا نعرف اللغة العربية دعونا نواصل هذه المناقشة باللغة العربية مع جميع الاحترام الواجب
Yani kupelekwa kwenye swarfu kidogo unaanza kusema tunajua kiarabu mama yangu? Sasa tusiende kwa nini.lengo sio kubishana kiarabu.


Unaweza kuwa mzuri wa kuongea kiarabu ila kamanswarfu na nahwu huwezi basi huwezi kutafsiri maandiko kwa sababu yana tekniki nyingi hasa.

Hujajibu hoja yangu ya swarfu hapo unasema tuu ooh kiswahili na hivi na vilee.


Nimekuambia hivi katika fani ya swarfu maneno huoimwa kwa mizani tofauti toffauti.

Mfano neno tunkahu limepimwa kwa mizani ya tuf'alu.

Na wazni wa tuf'alu hujulikana ni kwa mtendwa wa jambo ndiyo anayefanyiwa.

Sasa wewe kanusha hapo na ulete mizani zako kinahwu tuone huko kufanyana (kuowana) kunapimwa kwa wazni gani ?

Kwa hyo hapo tunkanu manake huolewa na sio huowana.

Ukisema kuowana tuambie umetumia wazni gani wa kiswarfu...?

الشرعة مقدم من اللغة

Sheria inatangulizwa zaidi kuliko lugha mama.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimetaka tafsiri ya neno hili,
ﻫﺬﺍ ﺍﻟﺤﺪﻳﺚ ﺭﻭﺍﻩ ﺍﻟﺒﺨﺎﺭﻱ
mbona linakupa kizunguzungu,kulikoni?

Faiza...eti pilau inapikwaje?

Na hivi, biriani huchacha haraka hata kama ukiliweka kwenye friji eh?
 
Na kile ulichoni tag kwacho mimi nimekiendeleza. Na niliyo yasema kuhusu wewe sijakuzulia hata kimoja na nimekupa stahiki yako.
Hahhahahha huyu mama bwana tuishi nae kwa akili.

Yani hapa anakataa kuwa mwanamke huolewa na anapinga mpaka aya na mbaya zaidi swarfu chenga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mada imekushinda unaleta ubishi wa kitoto. Waarabu wanasema...

فمن الأسهل للتنافس مع تسعة عشر غطيرة بدلا من طفل واحد

Kumbe kuna muda huwa unaelewa. Safi sana.
 
Wewe si unajua kiarabu.
Ili hadithi kwako itoke kwa mtume iweje?

Iwe inaingia akili mwako?
Au iweje?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nafahamu maana yake ndiyo maanna nikakwambia wewe na mwenzako anaejiita Zurri msaidiane kutafsiri. Nnahisi kama hamuelewi Kiarabu.

Tafadhali tafsirini hiyo sentensi Kiswahili.

Nyie wajuaji halafu sasa mnakwepa kitu kidogo tu?

Au kama hamjuwi semeni msaidiwe.
 
Mimi nafahamu yake ndiyo maanna nikakwambia wewe na mwenzako anaejiita Zurri msaidiane kutafsiri. Nnahisi kama hamuelewi Kiarabu.

Tafadhali tafsirini hiyo sentensi Kiswahili.

Nyie wajuaji halafu sasa mnakwepa kitu kidogo tu?

Au kama hamjuwi semeni msaidiwe.
Siwezi kutafsiri hiyo Sentensi.
 
Mimi nafahamu yake ndiyo maanna nikakwambia wewe na mwenzako anaejiita Zurri msaidiane kutafsiri. Nnahisi kama hamuelewi Kiarabu.

Tafadhali tafsirini hiyo sentensi Kiswahili.

Nyie wajuaji halafu sasa mnakwepa kitu kidogo tu?

Au kama hamjuwi semeni msaidiwe.
Tusaidie wewe mama.

Sisi hatujui.

Sasa niambie ili hadithi iwe imetoka kwa mtume kwako wewe iwe na vigezo gani?

Alafu pia neno "tunkahu" limetumika hata kwenye Qurani.kwa hyo ilunapotaka kuikataa hii haxithi kwa vigezo vyako jus kuwa zipo aya zimetaja hlo neno kwa maana ile ile.

Narudia kusema hivi mama yangu.

Kwa mujibu wa elimu ya صرف Neno تُنكح limepimwa kwa wazni wa تفعل ambayo inamkusudia mtendwa ama mtendewa wa jambo.

Kwa maana hapo inakusudia huolewa na sio kuowana kwa sababu neno kuowana kinahwu ina wzni yake kama ambavyo ilivyo maneno kadhaa

Sasa naomba niambie neno kuowana kwa kiarabu litakuja na wazni ipi kwa mujibu wa elimu ya swarfu?





Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahhahahha huyu mama bwana tuishi nae kwa akili.

Yani hapa anakataa kuwa mwanamke huolewa na anapinga mpaka aya na mbaya zaidi swarfu chenga.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe katika Uislam hakuna "kuoa" kuna kuoana tena kwa kutimiza masharti yote ya kisheria.

Inabidi mtie akilini mwenu. Mmezowea kuwadanganya wasioujuwa Uislam na haki zake.

Hapa kwangu mkitaka msitake mtatia akili tu.

Unaongelea aya? Soma hii ya mwenzako umsaidie maana yake. Yeye kanyanyua mikono juu na mdomo juu.
Siwezi kutafsiri hiyo Sentensi.

Muombe msaada mwenzako anaejiita safuher aliyeiweka hapo hiyo hadithi akusadie.
 
Back
Top Bottom