Faiza Ally amjia juu mzazi mwenzie Sugu na anajuta kuzaa nae

Faiza Ally amjia juu mzazi mwenzie Sugu na anajuta kuzaa nae

Alijuta kila kitu. Wanae wanalelewa kwao frola.hbaba kazi kuwapost akiona wamependeza naona frola akapungiza kuwapost.
Yule dada alivyokaa kipole,sura yake ipo very innocent.
Juzi tu nilikuwa nacheck bongo movie nikamuona,nikawa najiuliza sijui anaishije na HBaba.
Kumbe washaachana kitambo[emoji119]

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Faiza ana watoto wawili kila mtoto na baba yake
Huyo mtoto mwingine hamzungumzii kwa kuwa kazaa na mtu ambaye si popular, publicity anaipata kwa kumshambulia Sugu na hajakubali ku-move on plus alikuwa akidai(back in the day) kwamba Sugu alikuwa akimla [emoji872] nadhani anaamini kwa kumtunukia kule hakupaswa kuachwa licha ya matatizo yake yasiyovumilika.
 
Unadhani ni rahisi? Ukizaa na mtu jua ni muunganiko wa milele! Sie wetu wapo 18 lakini cha moto hadi Golgotha! Usicheze na mwanamke, ukimuacha wewe na ukawa umezaa naye, unalo! Mtoto anakuwa ni fimbo ya kukuchapia.
I hate this shit, yamenikuta sana hayo.
 
➡️Je kama kweli mtoto anam miss baba na upendo wa baba hauoni??
➡️Je kama ni kweli baba hamtunzi mtoto?

Kinacho mponza faiza sio wale wanawake wa kufa na tai shingoni kama walivyo wengi.....ndio mana kutwa kucha anatukanwa lkn haachi maana ndivyo alivyo...... Kuna siku ataeleweka.
 
Simtetei Jongwe ila wangeyamaliza wao kama wao na sio kudhalilishana mitandaoni. Mtoto anakua yule atayakuta haya na sio kitu kizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hana pa kusemea acha asemee hapo hapo mtandaon unadhan sugu angekuwa analea sasha vizuri Faiza angelalamika?faiza hanaga siri una watoto kwanin ubague
 
Back
Top Bottom