Unadhani ni rahisi? Ukizaa na mtu jua ni muunganiko wa milele! Sie wetu wapo 18 lakini cha moto hadi Golgotha! Usicheze na mwanamke, ukimuacha wewe na ukawa umezaa naye, unalo! Mtoto anakuwa ni fimbo ya kukuchapia.Sishabikii wanaume wasiowajibika kwa mtoto/watoto wao lkn kwa kesi ya Sugu nauona ugumu ulipo, mtoto si kafika umri wa kuweza kuhamia kwa baba yake bora Sugu amchukue hizi kelele zipungue.
Sent using Jamii Forums mobile app