Faiza Ally amjia juu mzazi mwenzie Sugu na anajuta kuzaa nae

Faiza Ally amjia juu mzazi mwenzie Sugu na anajuta kuzaa nae

Kuna mahala hapako sawa nafikiri sio vyema kumlaumu huyo mwanamke maana wanadamu tunakawaida ya kuwa na majuto baada ya kuharibu, unaweza kuta walio mponza mpaka akaachana na sugu nao saizi wamemtenga sasa huku sugu maisha yanaendelea vyema lazima huyu mdada aumie, na unawez kuta makubaliano ya pesa ya matunzo ilikuwa ni kiasi kadhaa sasa maisha yamepanda nakubadilika na sugu kakomaa na makubaliano, dada lazima adate pesa haitoshi na mambo ya mebana ila sugu nasonga vyema mtihani huu duh!
 
View attachment 2444126
Wana jukwaa hivi hapa anaejuta kuzaa na mwenzie ni nani kati ya Faiza na Sugu?

Faiza ana mtusi matusi makubwa sijui kama anajenga kwakweli, pia mwanaume kama ni kweli hamjali mtoto kwa lolote anafanya vibaya sanaa.

Yaani wahuni wawili walipendana wamezaa mtoto ila baada ya kukorofishana, mhuni mmoja kamzidi kete mwingine akamwaga
 
yaani kuna wanawake wengine tunajikuta tumeingia kwa kupunguza madude alafu anapata mimba madhara yake hayo, ukishindwa kuitalawa hiyo mahala ujue itakutawala wewe...matokeo yake ndio hayo. unaangukia mahala ambapo hukutaka iwe....aibu hii. wanaume tunapitia wakati mgumu sana...pengine anatuma matumizi ila mama anaona hazitoshi ili amkomeshe jamaa, wanaume ambao bado tafadhari tusifanye kosa la kuingia mahala ambapo hatuhitaji mtoto atokee hapo...tujitahidi kuvidhibiti hivi vibunduki vyetu kwakweli😎
 
Kweli kuna KUOA na KUOANA....HAPO SUGU WALIOANA!!....ukiishi na huyo mwanamke bas jela au kuzimu unazama chap!
 
Faiza anaboa wa kwanza kusimanga wenzie hawana watoto kisha wa kwanza kujipa uvictim. Yeye si superwoman ampotezee tu sugu na kulea mwanae.

Mwenzie flora mvungi alijua kakosea na kujuta kuhusu hbaba kisha akamove on ila huyu anayejiona dada wa mujini kutaka kuishi kwa mashindano kwa pesa za sugu lazima akusanye drama mitandaoni aonewe huruma.

Anajisahaulisha kuwa sugu alishinda kesi ya custody ya mtoto na ana haki ya kumchukua muda wowote atakao
Kweli dunia ipo mbio
Flora na Hbaba walishaachana?

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom