Faiza Ally amjia juu mzazi mwenzie Sugu na anajuta kuzaa nae

Faiza Ally amjia juu mzazi mwenzie Sugu na anajuta kuzaa nae

Hata mimi nahisi
Screenshot_20221212-200954_Twitter.jpg
 
Happy Sugu sasa na yeye huko Insta anavyojishaua sasa...mara nipo hotel desderia mara nilikutana na Sugu wakati nafanya kazi Byuro de chenji mara alienda ulaya akaniletea pafyumu baaasi itakua inamvuruga sana Faiza.
Happy Sugu 😆🤣😂
 
Huyu mmama nilijua kashakubali ukweli kwamba Sugu sio wake tena bali ni mzazi mwenzake tu. Hizo kelele hapo hamna lolote aseme tu bado anamtaka Sugu. Eti sura mbaya wakati anamchanulia miguu hakuiona hiyo sura mbaya? Kuwa na mama hivi ni hasara sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu bado anampenda sugu, hizo nyongo anatema ni machungu tu ya kupigwa chini.
 
Faiza anataka Sugu awe anakumbushia enzi japo kwa siri huku akitoa matunzo ndo maana anasema ana roho mbaya hahhaah 😀 sugu kakomaa anaheshimu ndoa
Faiza haeleweki Siku ile sugu alinchukua Sasha kaenda naye kwenye paty dogo kapiga picha na happy na mama Samia, happy akaipost ikawa nongwa. Katukana mpaka watt wadogo wa sugu. Sasa hapo tutamlaumu sugu kweli? Yaani Kama ana kichaa jamani
 
Faiza haeleweki Siku ile sugu alinchukua Sasha kaenda naye kwenye paty dogi kapiga picha na happy na mama Samia, happy akaipost ikawa nongwa. Katukana mpaka watt wadogo wa sugu. Sasa hapo tutamlaumu sugu kweli? Yaani Kama ana kichaa jamani
Yani nakumbuka akasema anapiga na mtoto wake mrembo anatafuta kiki..ki ubinadamu lazima mtu akwazike
 
Ila kisaikolojia Faiza hayuko sawa..nasikia alishagombana na Zamaradi na walikua ma best sana..labda aliona mwenzie ametulia na mumewe
 
Sishabikii wanaume wasiowajibika kwa mtoto/watoto wao lkn kwa kesi ya Sugu nauona ugumu ulipo, mtoto si kafika umri wa kuweza kuhamia kwa baba yake bora Sugu amchukue hizi kelele zipungue.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kelele hazitapungua Bali zitaongezeka. Itakuwa mtoto hata akiambiwa akaoge akijisikia uvivu tu ataripot kwa mama ananyanyaswa, Sasa hapo matusi yatakayoandikwa insta itasimama
 
Mtoto wangu kwanza mengine napotezea
Sugu akimchukua mtoto yeye analeta nongwa, Kuna kipindi walimuomba mtoto kwenye msiba wa mama ake sugu.kabla msiba haujaisha akaandika magazeti yake anataka mwanae arudi dar. Haya juzi Kati wamemchukua mtoto kwenye event ya babake nadhan unakumbuka kilichotokea.

Haya yanayomkuta faiza anasababisha mwenyewe jamani sugu afanye nini? Alishashinda kesi akaruhusiwa na mahakama kumchukua mwanaye coz mama mtu alionekana si mfano mzuri kwa mtoto lkn watu wakamjia juu sugu.

Kama sugu hamtunzi mtoto kwa nini hampeleki dawati la jinsia?
 
Back
Top Bottom