Faiza Ally amjia juu mzazi mwenzie Sugu na anajuta kuzaa nae

Faiza Ally amjia juu mzazi mwenzie Sugu na anajuta kuzaa nae

Lazima ujiulize why akatae?
Ikiwa ali fight hadi mahakamani why leo agome?
Nani asiyejua maumivu ya kutukanwa anayopitia Sugu?

Sugu ametukanwa sana hadi bungeni na alilia machozi sana ana akaeleza masahahibu anayopitia kupitia huyo mtoto na dunia iliona.

Siungi mkono baba asiyetunza watoto lakini siungi mkono uonevu na manyanyqso anayopiria Sugu.

Yaani kama vile Sugu alizini na shetani kutwa kusimangwa na kutukanwa.
Ingekuwa mimi huyo mwanqmke angekua kilema muda mrefu sana
Yaan huyu faiza Ni mamaJ mtupu[emoji22]
 
Ila maisha magumu nyieee
Mtu umeolewa lets say una kazi yako au biashara yako still maisha magumu,,sembuse mama anaefight kutunza familia na kusomesha watt 2 peke yake??
Kwan faiza alizaa na sugu watoto 2 ?
 
Demu hata hajui anachotaka,
Kumpeleka mtoto kule hataki anadai wabayaa watamtisha mwanae.
Sasa Sugu aache familia daily ashinde Dar kwa X wake.
Sugu nae kakojoa mazima akijua kapata mwarabu wa Dubei kuja kujua kaingia cha kike kumekucha
 
Back
Top Bottom