Faiza Ally amjia juu mzazi mwenzie Sugu na anajuta kuzaa nae

 
guys , Sugu inaonekana huyu kiumbe alimchukulia Kwenye Night club demu nae kwa kutomjua Sugu vizuri kwa kuwa nae ni Malaya flan basi wakakutana kumbe mambo ni tofauti. kila mmoja hapo anajuta kukutana na mwenzake.
hivi kweli leo Faiza kajua sugu ana Sura mbaya sure? au hela zake zilimpiga upofu?
 
Eti kuongea na mtoto! [emoji848]

Shule zimefungwa mtoto aende kwa bana yake kumsalimia na kuongea hadi rikizo iishe.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…