Faiza Ally (Ex wa Sugu) na battle isiyoisha kwa Mke wa Sugu

"kashankupe"
Hebu uwe na akiba ya maneno, usimuite mtoto wa mwenzio hivyo. Kumchukia faiza kusiwatoe ufahamu kumhusisha mtoto na ujinga wa mama yake. Faiza ni mental case na inajulikana, hivi ukimprovoke kichaa nawe unaitwaje?
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji16]nimekuelewa dada,nimefuta kauli Ila Anamfundisha mwenyewe mwanawe japo wa kwetu sio wakamilifu pia
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji16]nimekuelewa dada,nimefuta kauli Ila Anamfundisha mwenyewe mwanawe japo wa kwetu sio wakamilifu pia
Faiza ni mental case, hakuna mama timamu anaeweza fanya afanyayo. Ni vile hizi nchi zetu hatuna mamlaka zinazoeleweka zinazolinda watoto. Baada ya hili seke seke ndio nilitembelea page yake na kufuatilia, she has beautiful kids na kasasha kanaonekana kako so bright and humble. Ni mama tu ndio amekosa, she does not deserve hizi drama kabisa na mtambue ni mtoto bado hana maamuzi yake. Yeye anafanya anachoambiwa afanye na hajui madhara yake. Haina haja ya kumshambulia, mama ni mama tu hata kama ni mwendawazimu.
 
The best way Sugu awaoe wote tu ..maana kwanza atakuwa kamsaidia huyi unaesema anaihitaji mental health service, haaitajiki tenaaa iyo hudumaa .. hapo mzee sugu apewe game 1 akaupige mwingi ...
 

Anamlea huyo mtoto na anakujaga kumuona sema kwa huyo baba ana adabu kweli
 


Huo u-bright umeupimaje?

Kwa kule kuongea kiingereza tu?
 
Mungu wa ajabu sana, Happy akitukanwa mgumba leo kazaa watoto wawili tena wote wanaume yaani warithi, shida imeanzia hapo

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
Kwanza aliitwa mgumba!
Akazaa.
Mara anaf..rwa
Watu kimya, oh fresh tu
baadae Wanae wakaitwa Wa miujiza, watu fresh tu
Baadae wanae wabaya sijui wana sura za kizamani, watu fresh tu.
oh ana miguu mibaya sijui makanyagio, watu fresh tuuu.
oh mwanangu ntazaaa na babake mtoto mwingine, watu kimya!

Leo Happy kaweka picha tu.
Tena haina tusi, haina chambo, haina lolote.
Just neno ''my daughter.....''
Faiza anataka kuzaa mbuyu. ahahahahhahahhahahhahahhahahhaha
 
Ana picha kaweka papa lake akiwa ametoka kujifungua, just few minutes after it!
Ndiyo....Ile nayo...

Then kuna ile ya Red carpet Kill Music award, kile kinguo kiliacha pututuu yote nje. Bado ile ya Pamphers. Na hapo Sugu alikuwa hajamuoa Happy...

Ila Sugu kavumilia mengi kwa huyu Mwanamke..

Yote kwa yote nilikumiss mno mno...kuna nyuzi zikiletwa huwa najisemea tu natamani kukutana na comment ya Dada Snow🤣
 
Daah Mrs Mbilinyi alijua kupagusa penyewe jamani. Alifikiri mwenzie ana moyo wa chuma[emoji23][emoji23]
 
Dada mkubwa huwa ana maneno utafikiri ana undugu na Dr Kumbuka. Huwa nammiss sana kwenye ubuyu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…