Faiza Ally (Ex wa Sugu) na battle isiyoisha kwa Mke wa Sugu

Ukienda kwenye zile nyuzi za zamani sasa; enzi zile wengi wapo active; aisee utacheka hadi basi

snowhite unakumbuka enzi za Da Sophy?
Nazikumbuka....🤣🤣🤣
Kuna wakati najiuliza tu sijui ni lini watarudi kuwa Active tena hapa jukwaani kama enzi zile....
Mtu kama Nifer....Kwenye nyuzi za Ubuyu jamani🤣🤣🤣🤣
Huyo Da Sophy nimemsoma kwenye nyuzi za Zamani tu😅😅😅Sikufanikiwa kukutana naye hapa..
 
Da Sophy....

Okay...
 
Da Sophy was bad news. Mnakesha naye siku nzima yeye peke yake. Anakwambia "hainaga digirii, ladha ya chumvi ni ileile kwa aliye na digirii na asiye nayo'"

Enzi za akina marehemu Warumi, mrembo by nature, Kim nana; miss neddy n.k. Waje team mondi na team kiba sasa daah
 
Warumi jamani...RIP
Kim nana nilimkuta mwishoni mwishoni huko🤣
Ila JF ya zamani jamani....kuna mambo nayamiss tu....Watu walikuwa na maneno😅Mweeeh!!!
 
Sitomkatalia memba yyte humu akikushutumu kuwa ww ni mfuasi wa chadema kiitikadi,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…