Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nazikumbuka....🤣🤣🤣Ukienda kwenye zile nyuzi za zamani sasa; enzi zile wengi wapo active; aisee utacheka hadi basi
snowhite unakumbuka enzi za Da Sophy?
Nimejikuta nimeingia Jukwaa la Ubuyu bila kujua....Dada mkubwa huwa ana maneno utafikiri ana undugu na Dr Kumbuka. Huwa nammiss sana kwenye ubuyu[emoji23][emoji23][emoji23]
Da Sophy....Nazikumbuka....🤣🤣🤣
Kuna wakati najiuliza tu sijui ni lini watarudi kuwa Active tena hapa jukwaani kama enzi zile....
Mtu kama Nifer....Kwenye nyuzi za Ubuyu jamani🤣🤣🤣🤣
Huyo Da Sophy nimemsoma kwenye nyuzi za Zamani tu😅😅😅Sikufanikiwa kukutana naye hapa..
Heshima yako Babu....Da Sophy....
Okay...
Siyo huyo Babu...usinigombanishe na Mama yangu...
Nikunyime nini Babu...😀😀😀
Unakijua. Ila baadae usije kujutia kama mama Sasha.Siyo huyo Babu...usinigombanishe na Mama yangu...
Nikunyime nini Babu...😀😀😀
Da Sophy was bad news. Mnakesha naye siku nzima yeye peke yake. Anakwambia "hainaga digirii, ladha ya chumvi ni ileile kwa aliye na digirii na asiye nayo'"Nazikumbuka....🤣🤣🤣
Kuna wakati najiuliza tu sijui ni lini watarudi kuwa Active tena hapa jukwaani kama enzi zile....
Mtu kama Nifer....Kwenye nyuzi za Ubuyu jamani🤣🤣🤣🤣
Huyo Da Sophy nimemsoma kwenye nyuzi za Zamani tu😅😅😅Sikufanikiwa kukutana naye hapa..
Umefikaje?Nimejikuta nimeingia Jukwaa la Ubuyu bila kujua....
Kuna mchuchu mmoja kanimention. Afu nilishawahi kumtongoza akanikataa. Sijui ndo anataka anifanye Sugu wake?Umefikaje?
Warumi jamani...RIPDa Sophy was bad news. Mnakesha naye siku nzima yeye peke yake. Anakwambia "hainaga digirii, ladha ya chumvi ni ileile kwa aliye na digirii na asiye nayo'"
Enzi za akina marehemu Warumi, mrembo by nature, Kim nana; miss neddy n.k. Waje team mondi na team kiba sasa daah
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Umefikaje?
Babu una balaa wewe....Unakijua. Ila baadae usije kujutia kama mama Sasha.
Nilikuja kushangaa kumbe alikuwa mwanaume. Mwanaume alikuwa na ubuyu yule. Mungu amrehemuWarumi jamani...RIP
Kim nana nilimkuta mwishoni mwishoni huko🤣
Ila JF ya zamani jamani....kuna mambo nayamiss tu....W0atu walikuwa na maneno😅Mweeeh!!!
Ndio ujitahidi sasa uje tuyamalize....Babu una balaa wewe....
Kweli unaniombea niwe kama huyo Mwanamke?😅
Apumzike kwa Amani...Nilikuja kushangaa kumbe alikuwa mwanaume. Mwanaume alikuwa na ubuyu yule. Mungu amrehemu
😁😁😁😁😁Ndio ujitahidi sasa uje tuyamalize....
Amina. Mimi nlikuwa natongoza tu. Kumbe dume jenzangu. Afu lilikuwa linatoa ushirikiano kumbe linanichora tuApumzike kwa Amani...
Sitomkatalia memba yyte humu akikushutumu kuwa ww ni mfuasi wa chadema kiitikadi,Kilele hicho si kingine bali ni kuvumilia upumbavu wake kwa muda mrefu sana.
Sugu was an ambitious man na alikuwa so freaking real na Faiza though personality ya Faiza inaonesha ni ile ya narcissist ambaye huwa anaku downgrade partner wake as huwezi fanya lolote bila yeye, or like ukiwa nae she feels like she is upgrading you so without her you are nothing.
Hii hali makes us Men feel so miserable haswa tukiwa down on earth ila mpenzi wako anakuwa sio mtu wa ku appreciate uwepo wako katika maisha yake licha ya jitihada unazofanya. Unamuonesha upendo haswa you buy her stuff ila ana kale kashetani ka ukorofi tu.
Kimsingi mwanzoni lilikuwa linamtesa sana Sugu especially kipindi ambacho Faiza alikuwa mainstream ana heshima kubwa tu nafikiri level za Madam Ritha zile. Imagine unavumilia drama za demu wako mwisho unaamua kuoa kabisa ukifikiri mambo yatatulia ila haiwi hivyo. Hatimaye Sugu alikuwa fed up akaona bora aliache fupa lilomshinda fisi japo kwa maumivu sana ila he had to do it sababu alikuwa tayari kashapata personality kubwa katika medani za kisiasa nchini.
Sote tunajua maumivu ya kuachana ila mbaya zaidi kwa watu mliopendana sana ila mmoja aka give up inakuwa ngumu kwa mwengine kukubali hali halisi. Mbaya zaidi kwa miaka ambayo wamekuwa pamoja na umri ambao watu hao wako nao plus mtoto. Kuna umri ukifika wanaume we only need peace of mind na tunatarajia tukioa tuipate hio peace of mind kwa wake zetu..
Kwa nachokiona Faiza ana haki ya kuchanganyikiwa zaidi sababu ndie looser katika kuachana huko.
1.Kwanza alikuwa dramatic akitegemea hataachwa matokeo yake kaachwa vizuri tu regardless ya ndoa na mtoto.
2. Pili ameachwa kipindi ambacho Sugu amefika kwenye peak ya mafanikio kimaisha he is no longer broke or going to be broke ever.
3.Umri wake umesonga na ni single mother haoleki tena kashazeeka nobody eyes on her like before.
4. I have a doubt about his financial situation huenda anapitia financial struggles sana ili ku keep up with her big name.
5. Amekwisha turnish her image kwenye public so watu wanampuuza tokana na matendo yake na drama zake toka ameachwa.