Faiza Ally (Ex wa Sugu) na battle isiyoisha kwa Mke wa Sugu

Hata asipompost, ataleta lingine tu.. Faiza is dramatic person by nature.. We kwa akili yako hiyo mke mwenzako akimpost mtoto wako yatakutoka hayo maneno?

Sugu ameyaona mengi sana anafaa kuwa mshauri wa wababa wenye dramatic baby mamas.
Yule ana Visa tu kupostiwa kitu gani...halafu mbona happy hakuandika Jambo baya...mi kaniudhi kweli kumtukana mtoto mdogo wa mwaka mmoja...
 
Ila on the other side hatak mwanae hapostiwe ..uyo dada happy angeachanaga nae tyuu mana Faiza ypo clear mbna hatak amposti mwanae
Faiza Kila siku anatafutaga tu maneno ili atoe uchungu wake wa kuachwa na Sugu; shida zote hizo chanzo ni kwamba hajakubaliana kuwa Sugu kashamove on. Remember the other day Happy anatoa ushuhuda jinsi alivyompata mtoto wake kimiujiza; yeye kashamjibu sijui Sasha ni mtoto wa fyoko fyoko sio wa muujiza, mara wa kwake ndiyo mtoto wa dhahabu. Hao watoto wa Happy anawasema vibaya kila siku, bado matusi kwa Sugu na mkewe. Hata Mimi ningekuwa Happy ningetafuta tu cha kumkomeshea sina moyo wa kuvumilia uchizi wake kila siku; alijua tu akimpost Sasha kitamuuma. Faiza anajikutaga yeye ndiyo fyatu; sasa alie apasuke huko alipo ila mtoto kashapostiwa. Tena Bora hata Happy amempost mtoto kwenye kitu +ve.

Uolewe na mwanaume mwenye baby mama kama Faiza, afu mume awe hana msimamo; ndoa utaikimbia huku unaipenda. Sugu endelea kukaza baba, alikuacha mwenyewe kwa matusi na kejeli, sasa hivi anahara bata. Happy mbaya ila ndiyo kaolewa; naona Faiza akiona ile Happiness Mbilinyi anatamani kufa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Swadakta... Eti leo anaomba msamaha huko insta...anayoyafanya yanaharibu future ya mtoto sijui kwa nini haelewi yule...
Jamani tupeleke watoto wetu shule hata Kama hawatapata ajira...lakini watakuwa na upeo wa kupambanua Mambo!!
 
Afu faiza Hana muamana hata akiona wamekaa kimya tu anapagawa na kuanza kuwatusi pia,hii ya mtoto imekuja tu but honestly hajagoma kuachika ,Faiza ni mpuuzi Mmoja hivi asiejielewa asilani!
Mi kanikwaza kushirikisha mtoto
 
Hahahahahahahhaj nimecheka sana mkuu

Ndio maana navaa ndomu hadi leo,[emoji2][emoji2] kuzaa na kichaa ni shida

Men have to value their sperm and its donation. Hahahahah

Wanawake tabu sana.

Kuna demu mmoja nilipita nae dry miaka 2 nilijuta ule uamuzi wangu maana sio kawaida yangu kutembelea ringi hata kidogo.

Nikajua huyu atanasa tu maana ni mcharuko ile mbayaaaa.

Nikawa nasikikizia simu na sms zake ikija tu basi anayo

Nilishi kwa mawazo sana after 6 six nikameki conclusion hakuipata nikashukuru.
 
Swadakta... Eti leo anaomba msamaha huko insta...anayoyafanya yanaharibu future ya mtoto sijui kwa nini haelewi yule...
Jamani tupeleke watoto wetu shule hata Kama hawatapata ajira...lakini watakuwa na upeo wa kupambanua Mambo!!
Matusi anayomporomosheaga Sugu; angekuwa ni mwanaume legelege angemfuta kabisa na Sasha kwenye maisha yake; hataki kumuona Sugu na amani sijui. Sasa anamtumia mtoto kwenye upuuzi wake ili iweje? Yule bana alikuwa anatikisa kiberiti kwa Sugu, akakuta kimejaa. Uchungu wote ule haamini kama Sugu kashamsahau. Mtu mwenye uchungu/majeraha ya moyo, ni mtu wa kuogopwa sana; anaweza akafanya kitu mkabaki midomo wazi. "Acceptance" ni ya muhimu sana kwenye maisha
 
Afu faiza Hana muamana hata akiona wamekaa kimya tu anapagawa na kuanza kuwatusi pia,hii ya mtoto imekuja tu but honestly hajagoma kuachika ,Faiza ni mpuuzi Mmoja hivi asiejielewa asilani!
Mi kanikwaza kushirikisha mtoto
Faiza kinachompa huo uwendawazimu wote ni kuachwa na Sugu. Yeye alikuwa analeta mbwembwe akijua mwenzie atambembeleza,; kumbe mwenzie alikuwa ashajichokea akasema afadhali. Hukuona siku Ile aliandika like "watu wasigombane kidogo tu, wewe tayari unakwenda kuingilia mahusiano yao". Beef lote na Happy ni kwa sababu anahisi labda Happy asingemkubalia Sugu, labda wangerudiana. Lakini naamini kwa drama na matusi yale ya Faiza; Sugu angemkosa Happy, bas angebaki tu single kuliko kurudiana na Faiza🤣🤣
 
Kweli kabisa kipindi sugu bado hajaoa alikuwa ana mtukanà jamani Hadi huruma
Baada ya kuoa chuki imehamia kwahappy
Mi nafurahi kweli wanavyompuuza
 
Raia wanavyotiririka inathibitisha jinsi gani huyu mwanamke alivyo toxic.

Ni wakati sasa Sugu apate custody ya binti yake kwa sababu mzazi mwenzie amethibitisha on numerous occasions to be an unfit parent.
 
Mwanamke lazima awe na wivu.. mwanae kaongea na Rais ulitegemea yule mwanamke akae kimya? Lazima akiwashe ili aonekana kuwa na yeye yupo na yeye ndio kamzaa sasha…

Yaani hapo hakuna kumyafuta mchawi mwanamke yoyote lazima afanye vile..

Ukitembea na mwanamke mtaani lazima atajipitisha kwa mkeo lzima atafanya juu chini ili mkeo ajue.
 
Amemlazimisha mtoto,ahusike ktk ugomvi wao. Kosa kubwa sana ! Sugu asimiliki tu bastola aisee, nanusa harufu ya ubongo kusambaratishwa hapa! Worse enough Rais amehusika ktk hii saga! 'Is it healthy ..' kwa sauti ya Joboo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…