Faiza Ally (Ex wa Sugu) na battle isiyoisha kwa Mke wa Sugu

Kwani huyo Faiza Hilo jina kubwa alilipata kwa shughuli/alikua anaefanya kazi gani hapa mjini?
 
faiza anamatatizo ya akili

pengine angefungwa kwamba apelekwe mirembe

mitusi yote ile kisa picha tu??
Ety sugu ni mfi**ji...alijuaje kama na yeye hakuwa mfir**j...

pumbav zake..sugu angemuweka kwanza jela ili apate akili..
 
Akili zenu baadhi ya wanawake Ni hovyo sana.
 
Sasa utalazimishaje kupost mtoro wa mtu ambaye hamuelewani?? Happy mkorofi wa kisirisiri
 
Mi watu miyeyusho ndo mambo yangu mkuu.

Ile kupelekana puta, maneno ya shombo mchana kweupe jua linawaka hayon ndiyo mambo yangu
Haki umenichekesha sana... Et kupelekana puta mchana kweupe😂😂😂
 
I don't why can't she accept defeat kua Sugu is no longer hers!Kwenye maisha Kuna kuacha na kuachwa!either kifo n.k yeye alidhani Joseph hatamuoa Happy maana alimdhalilisha mpk ndoa yake ya mwanzo lakini Mungu amempa Tena Happy Tena pakubwa Sanaa ,Faiza anaumia Yule haoni shida kuua!
Alichomtendea Sasha kitamgharimu Sana!afu anaonekana anamtia Sumu Sana mwanawe Ila inashindwa kukolea!

Mimi ningekua happy to be honest nisingemtaka Yule mtoto kwangu au Akija adeal na baba ake tu, maana kudeal na kichaa Kama Yule it needs Mungu Sanaa!!!maana Akija kutembea ht akiumwa ntakua na mawazo na presha na mama yake!
 
Huyu Dada Ni mgonjwa..kweli Tena...haachi mambo ya kipuuzi!!
 
Sugu asimame kama baba, aache upumbavu, anajua Faiza ni mtu asiye na brake, anatakiwa sasa aache kufanya mambo ambayo yatamfanya yule dada kichaa chake kipande, this is for sake ya mtoto wake, aangalie maisha ya kina Paula sijui yalianza hivi kwenye mitandao and end up worse ...Sugu don't fail when comes kwa watoto wako, mke wako asingepost huyo mtoto wala msingefika hapa, Taita Happy ni mke wako lakini ipo siku unaweza tengana naye na ikawa history kama ilivyo kwa huyo mwingine, lakini watoto wako forever will remain your blood..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…