Faiza Ally (Ex wa Sugu) na battle isiyoisha kwa Mke wa Sugu

Serikali imnyang'anye mtoto huyu mama mwendawazimu. Na wanaume tuangalie wanawake wa kuzaa nao siyo unaona mwanamke mweupe/shombeshombe au ana msambwanda au shepu ya kimiss ndiyo unazaa naye, mradi mmezaa atakuletea drama FOR THE REST OF YOUR LIFE. Mwanamke muhuni asiye na maadili siyo wa kuzaa naye.
 
Well said
 
Sugu ashaona Faiza ni kichaa ndo maana hana muda naee yani Jamaa anampotezeaa mpaka faiza roho inamuuma.. Huyo happy nae ndo komesha sasa kama hamuoni anayoyafanyaa toka juzi anapost mambo ya Biashara yake tuu hana habarii kama hakijatokea kitu faizaa katukanaa wee mwisho wa siku kaja kuomba mwenyeww msamaha.. Too bad kamuingiza na mwanas kwenye huu Ugomvi yani BADDEST THING OF ALL laiti angejua Only God knows what tomorrow shall bring asingepandikiza Huu ugomvi wake na happy au sugu kwa hutu Mtoto kwa nchi zilizoserious na haki za watoto yani Jela inakuitaa mchana kweupe.

Faiza alishazaa na jama mwingine sijui nae yalimshindaa na Faiza HAWEZI KUMOVE ON KAMWE...mafanikio na maisha mazuri ya sugu yanamuuma kuliko kawaida ila Jambo zuri ni sugu na mke wake wanajua how to play smart.
 
Kuna jamaa mbona alizaa nae piaa nae kaingia mitinii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Faizaa kabaki kujiongeleshaa tu ooh amaa super woman..

I believe huyo Jamaa mwingine aliyemzalisha Faiza hakuacha impact kwa Faiza kama alivyoacha Sugu, the fact anaichokonoa ndoa ya Sugu kila siku inaonyesha haja move on, mwenzangu kama unampenda mtu na anakupenda, mnazaa ,work hard relationship yenu i work, otherwise you will be sorry...

Faiza they are plenty of men outhere, yupo atakayekupenda na kukufanya umsahau Sugu, lakini this much negativity unayojijengea kila siku kwa kuichokonoa ndoa ya Sugu inaweza kukufanya wanaume wakuogope etiii...unajiharibia chances zako za kupata mwanaume mzuri atakaye impact maisha yako na kukufanya kusahau kila kitu....ni ushauri tuu,...mambo ya kumbully mke wa Sugu kila siku sio mazuri, dada wa watu kaona sasa atumie fursa ya attention unayompa kwa kutangaza biashara zake..khaa...
 
Kwa kweli wamama wenyewe wale wa nyanda za juu kusini, full conservatives. Afu leo anakuona mkwewe unajipost na πŸ‘™πŸ‘™πŸ‘™ mtandaoni; hawakuelewi kabisa. Lakini alimshikia bango mama ake Sugu utafikiri mke mwenzie; afu mtoto wa kiume ukamuongelee shit mama yake public na kutamani hata afe kisa tu umemzalia kabinti aaah weeeeeee.
 
Baba ake Li kama hayupo duniani jamani na hata huyo Li naona kimya, Kila siku ni Sasha tu.

Afu Happy I mean Mrs Happiness Mbilinyi kashaanza kuwa Sugu kama watu wa Mbeya; ahsante sana Mrs Sugu. Alipost vile vitumbua vyake aisee lazima nikamuungishe.

Yaani kipindi kile kina Martha Mlata na kina Mange walimpambania sana Faiza hadi akakubaliwa kubaki na mtoto; bora tu Sugu angepewaga mtoto wake jamani. It's too much afu bado anamdrag mtoto kwenye upumbavu wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…