Faiza Ally: Niffer amepigwa sana na amechukuliwa na ‘watu wasiojulikana’

Faiza Ally: Niffer amepigwa sana na amechukuliwa na ‘watu wasiojulikana’

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Faiza Ally amedai kuwa mfanyabiashara Niffer amepigwa sana na amechukuliwa na watu wasiojulikana, Niffer ambaye kwa siku za ivi karibuni amekuwa akionekana kucheza Challenge Nywinywi katika kurasa zake za mitindao ya kijamii.

IMG_8554.jpeg


Screenshot 2025-10-27 152129.png



 
Hawa watu historia itawakumbuka. Kipindi ambacho hata wanaume tulifyata wao walijitokeza na wakapinga udhalimu.

Ni bora watuibie, watuingize mikataba ya hovyo, watupandishie kodi,fresh tutajiliwaza kwa kina Pacome na Mpanzu. Ila hii ya kuuwana yani hata mpira nikaangalizie kaburini haijakaa poa.

Damu za watu huwa zinaondoka na watu.
 
Faiza Ally(Mama Watoto Wa Sugu) anaandika kupitia Instagram yake

"Niffer amepigwa sana na amechukuliwa na watu wasio julikana … Jamani hatari imezidi hii habari imetoka Germany kwa mtu ambae alimuagiza boda dukani kwa niffer kupeleka mzigo yaani ni habari ya ukweli boda kaiona live …. Watu wa karibu na niffer Jeshi la police msaada Jamani ……. Mimi naogopa sana Jamani …. Mpaka sasa sijajua amepelekwa police au wapi maana hao watu walikua na bastola yaani amepigwa mpaka anavuja damu …. Yarab muokoe binti watu 🤲🏽😭😭 @polisi.tanzania @gwajimad @ikulu_mawasiliano tunaomba msaada"
 
Back
Top Bottom