Faiza Ally: Niffer amepigwa sana na amechukuliwa na ‘watu wasiojulikana’

Faiza Ally: Niffer amepigwa sana na amechukuliwa na ‘watu wasiojulikana’

It's about time wasiojulikana wajulikane na Kama sio Polisi bali ni Kazi ya Polisi kuwatafuta hao na kuwashika na kama wameshindwa kazi basi waombe msaada kutoka mataifa ya nje... Nilisema kitambo sana tunahitaji kuangalia tulipopotea njia ili turudi na kutafuta njia ya kwenda pamoja kama Taifa....


 
Huu sasa ni ujinga!

Leo tunaambiwa wanajeshi walikamatwa kwa kuchana mabango yenye picha ya Samia.

Chaula amepotezwa kwa kuchoma picha ya Samia!

Sasa kuwapoteza na kuwateka hawa watu ndio italeta maji safi Kimara?



Majuzi nimeona clip hapo mjini kabisa Kimara mtu anafungua maji bombani yana tope je hayo sio mambo yenye tija kushughulika na hivyo vya maana wanashughulikia vitu visivyo na tija??
 
Back
Top Bottom