City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
Kavamiwa leo mchana kweupe tu akiwa dukani kwakeYesu wangu uwii binti wa watu mdogo mno… mkuu imeshuhudia huo uvamizi??
Kavamiwa leo mchana kweupe tu akiwa dukani kwakeYesu wangu uwii binti wa watu mdogo mno… mkuu imeshuhudia huo uvamizi??
Unaijua bunduki? Au unaandika tuKWa hiyo kwa kua wana bunduki tunaacha tu wajifanyie wanavyotaka
Huyo fala alishachagua upande wa kuwamaliza watu.Na ikiwa kweli utakubali ?...
Do you even care?..
Ukimkuta kwenye topics zinginezo ni mtu sanaaa.Huyo fala alishachagua upande wa kuwamaliza watu.
Acha tu Bruh ila kwa Sasa Tunapewa Nyama za watu na Maza.Ukimkuta kwenye topics zinginezo ni mtu sanaaa.
Binafsi yangu si mtu wa vyama na kwanza sina ila yanayotokea lazma uyaangalie bila bias. Ila silaumu sana mkuu, ukipewa nyama unanyamaza
Kuna video yoyote imeonekana?Kjwa uvamizi ule, sijui kama atarudi. Kavamiwa kama ilivyokua kwa mdude na polepole
Wasiojulikana wamemshabeba!Niffer kafanyaje? 🤔
Mtandaoni usipoingia masaa kadhaa unapitwa
Ndio waje na bastola stukaShida ya Niffer ana maadui wengi
Ndio Yule Mfanya biashara mliyesema ana akili nyingi?Faiza Ally amedai kuwa mfanyabiashara Niffer amepigwa sana na amechukuliwa na watu wasiojulikana, Niffer ambaye kwa siku za ivi karibuni amekuwa akionekana kucheza Challenge Nywinywi katika kurasa zake za mitindao ya kijamii.
Kuna wakati sio hela ni ule ushabiki wa kivyama Kama ilivyo Simba na Yanga ndio unafinya uwezo wa akili wa watu kwenye kutoa maoniUkimkuta kwenye topics zinginezo ni mtu sanaaa.
Binafsi yangu si mtu wa vyama na kwanza sina ila yanayotokea lazma uyaangalie bila bias. Ila silaumu sana mkuu, ukipewa nyama unanyamaza
Imbecile, 🗑 🚮Safi sana msichana ana Kiherehere sana yule