Faiza Ally: Niffer amepigwa sana na amechukuliwa na ‘watu wasiojulikana’

Nchi hii kila mwenye kupaza sauti basi mwanaharakati, mbona ili neno linatumika vibaya
 
Ooh kwa vile harakati za ukombozi wa taifa Joto linaletwa na vijana wadogo(GenZ) Mkaamua kuja na mbinu ya ku manipulate vijana kwa kusema " Vijana wadogo kama Niffer" and blah blah "huenda niffer na vijana WA umri kama wake" utterly nonsense....

Mkuu Hawa vijana wa 95-2000s vitu wanavyovuta vikali sana akili Yao imevurugwa,

kama sisi Wazee tungekua serious nusu Yao tu,utawala wa CCM ungeisha enzi ya Mkapa..

Man you have mastered the art of writing crap in paragraphs
 
Twin we ni mzee? 😂
 
She will bounce back, kikubwa wamuachie akili yake timamu.

Nguvu ya biashara ya Niffer iko kwenye kutengeneza maudhui ya kutangaza biashara yake, hata wakimuacha mahali na simu, stand ya kamera na kamera atarudi on top.

Kariakoo kuna wafanyabiashara wanaingiza makontena na makontena, wakiona mfanyabiashara kama Niffer yuko vizuri kwenye marketing mtandaoni wanamsukumia mzigo tu aupeleke mjini.

Kama si “michezo” basi hawajamkomoa.. Wamemsaidia.
 
Tumuombee..
Maana wakiamua kukukabia kwa juu, maana yake hata frame ya duka hutaweza kuwa nayo, watakufutia leseni na kila unachotaka kufanya kitakuwa kinyume na sheria za biashara....
Tumemuana Ayo alivyonyooka siku hizi baada ya kile kipindi cha jiwe walivyofungiwa mitandao yao yote kuwa ni kinyume na sheria......
 
Sahihi
 
Hamja muachia? Najua unahusika 😅
 
Back
Top Bottom