min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Kutumia jf kwa sasa ni kosa kisheria.Mange na Maria wamemponza huyu binti mdogo. Ninawalaani sana
Kutumia jf kwa sasa ni kosa kisheria.Mange na Maria wamemponza huyu binti mdogo. Ninawalaani sana
Mimi nasema : "Yeyote anayedharau mamlaka yenye dhamana ya usalama wa nchi ashughulikiwe tu na Bado! Hata mwanangu akijiingiza katika tabia mbaya za kudharau serikali, likimkuta la kumkuta sitamlilia.Faiza Ally amedai kuwa mfanyabiashara Niffer amepigwa sana na amechukuliwa na watu wasiojulikana, Niffer ambaye kwa siku za ivi karibuni amekuwa akionekana kucheza Challenge Nywinywi katika kurasa zake za mitindao ya kijamii.
Hamas wakiona comment yako watalia sana kwa uchunguMimi nasema : "Yeyote anayedharau mamlaka yenye dhamana ya usalama wa nchi ashughulikiwe tu na Bado! Hata mwanangu akijiingiza katika tabia mbaya za kudharau serikali, likimkuta la kumkuta sitamlilia.
UGONJWA WA KUJITAFUTIA MTU HAPEWI POLE!
Kimsikingi na kwa ukweli hata hao hamas ni wapumbavu na wanastahiki lawama kwa asilimia kubwa kwa mauaji ya wapalestina.Hamas wakiona comment yako watalia sana kwa uchungu
Usirushe mawe ikiwa upo kwenye nyumba ya kioo.
Huyu watamfungia chumbani wiki nzima wanamla Kinyeo mpaka washibe.Huyu mdada niffer alivyo na makalio makubwa na watu wasiojulikana wamemteka, mfano watekaji wakiamua kumuua, kabla ya kumuua sijui watamfanyaje, hivi umewaza nilichokiwaza BICHWA KOMWE - DIVISHENI FOO
Mimi niwatafute nina mandate ya kuwashika au uwezo wa kuwashika ? Inabidi hili neno liache kutumika tena (sababu matumizi yake yanaleta loophole ya yoyote, popote kupitia humo); Kwahio narudia tena Vyombo vya Usalama ni kazi yake na vina resourses za kufanya upelelezi ili kufikia tamati na kama vimeshindwa vinaweza kuomba msaada (mataifa mengi sana yalifanya hivyo - Hata kifo cha Auko Kenya Moi ilibidi akubali Scotland Yard waje) - for the benefit of healing the Nation..., _ "Justice must not only be done, but must also be seen to be done"Ngoja nikutafsirie alichoandika pale wewe ndio hujamuelewa.
Amemaanisha wasiojulikana sasa wanajulikana ila wewe bado huwajui unaendelea kuwatafuta
Safi sana msichana ana Kiherehere sana yule
Kwani hata kuwa against na serikali ni kosa?Ukiacha na kucheza ule wimbo ambapo sioni ni kosa Hakuna sehemu ameonesha yupo against na serikali ni wamemuonea bure huyu bidada
Wao wako njeMange na Maria wamemponza huyu binti mdogo. Ninawalaani sana
Wewe ndio ulianza kuni-qoute kwahio unaweza kuondoka kama ulivyokuja wala hakuna haja ya kuniagaNgoja nikuache inaonekana uko na uzito wa kutoelewa kiswahili ila unakikariri maneno kama yalivyo.
Sina cha kukwambia ukanielewa tutakesha hapa na kupoteza muda bure.
Wamshtaki kama wana kesi sio kupiga na kumteka, serikali ya kifala sana, zamu yako ikifika utaelewa, ni swala la muda tuuMimi nasema : "Yeyote anayedharau mamlaka yenye dhamana ya usalama wa nchi ashughulikiwe tu na Bado! Hata mwanangu akijiingiza katika tabia mbaya za kudharau serikali, likimkuta la kumkuta sitamlilia.
UGONJWA WA KUJITAFUTIA MTU HAPEWI POLE!