AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 13,769
- 23,676
KashaachiwaSiku chache tu nyuma niliandika hawa jamaa kama wamepagawa vile, yaani kwao kila mtu adui kwa sasa.
Niffer ukienda kwenye page yake yeye ni biashara zake tu muda mwingi interest yake na siasa ni ndogo sana.
Kama kweli wanae labda sababu iwe ni utapeli mwingine, lakini kumuumiza yule dada kwa sababu ya siasa kila mtu atashangaa.
Hakuna common sense tena huko serikali hasa kwenye vyombo vya ulinzi.