The mission 2017
JF-Expert Member
- Aug 14, 2017
- 6,498
- 14,946
Kugombana na mtu mwenye silaha muhimu na wewe uwe na silaha
Akikuwa na sababu gani ya kucheza alichokuwa anacheza
Kama kweli amepigwa basi tena wameshamuua . Maana hawawezi kumrudisha uraiani na makovu.Faiza Ally amedai kuwa mfanyabiashara Niffer amepigwa sana na amechukuliwa na watu wasiojulikana, Niffer ambaye kwa siku za ivi karibuni amekuwa akionekana kucheza Challenge Nywinywi katika kurasa zake za mitindao ya kijamii.
Uoga haununuliwi wakumbusheKwa msiomfahamu Niffer ni binti mwenye influence kubwa sana mtandaoni kwa wasichana wa mjini. Naweza sema baada ya mange anafatia yeye hii ni mbinu ya kutisha watu na wakiona kimya ndio tunamsahau hivyo.
Acha ungeseI bet majamaa lazima yambandue kabla hayajamuua.
Ndo maana hii haiingii akilini, kuna aidha kamchezo au biashara za dar madon wameenda na upepo kumkomoa dogoIla huyo ni team mboga za majani,
Mwambie asikilize ile audio km hawajui wasiojulikana atawasikia wakiongea mule kwenye ile clipNgoja nikutafsirie alichoandika pale wewe ndio hujamuelewa.
Amemaanisha wasiojulikana sasa wanajulikana ila wewe bado huwajui unaendelea kuwatafuta
Kuamka kesho ya Mtanzania ipo kwenye maamuzi ya wasio julikana..Ah Kmmmae hawa wangese watatumaliza sasa 🙌
Tumewakabidhi nchi MajambaziShida nini aisee mbona Watanzania hatukuzoea huu upumbavu
Ebu tuone hio sehemu walipomuachiaNimeona sehemu wanasema wamemuachia