Faiza Ally: Niffer amepigwa sana na amechukuliwa na ‘watu wasiojulikana’

Faiza Ally: Niffer amepigwa sana na amechukuliwa na ‘watu wasiojulikana’

Faiza Ally amedai kuwa mfanyabiashara Niffer amepigwa sana na amechukuliwa na watu wasiojulikana, Niffer ambaye kwa siku za ivi karibuni amekuwa akionekana kucheza Challenge Nywinywi katika kurasa zake za mitindao ya kijamii.


HAKIKA hawa akina MAFWELE hawana huruma na MTU .... Yaani hata huyu mtoto mzuri hivi wamepiga na kumteka!?
 
 
Unauliza maswali ambayo majibu yapo wazi
Majibu yapo wazi kwa nani ? Kama majibu yapo wazi tusingekuwa na miaka zaidi ya kumi (kidogo-kidogo na hii miaka ya hivi karibu very frequently) bado tunatumia neno lilelie wasiojulikana; Sababu kama hawajulikani inahitaji kuchunguzwa (tupate majibu) ingekuwa mara moja au mbili inawezekana uchunguzi usipate mafanikio - lakini hii frequency kama tumeshindwa kuchunguza tuombe msaada kutoka hata nje; ili tupate ufafanuzi na Imani katika Vyombo vya Usalama irudi (sababu that is what is at stake na ni bigger than anyone or anything else - ni Pillar ya Ustawi wa Jamii)
 
Back
Top Bottom