Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Subiri kwanza, Niffer ndo yule ambaye juzi amejirekod akicheza mziki uliorekodiwa Mama Samia akisema hakutakuwa na Nywi nywi nywi wala nywinywinwyi?
Itakuwa ni kule kucheza wakati mwenzake anatoa maagizo...bifu za kike!Shida nini aisee mbona Watanzania hatukuzoea huu upumbavu
Unataka nani atoe hiyo habari ndiyo uamini? Wewe chawa Promax🚮Hii habari ina walakini maana page ya Niffer imeendelea kupost halafu hakuna chanzo kingine cha habari zaidi ya Faiza. Tujipe muda kujiridhisha na hii habari.
JamiiCheckFaiza Ally amedai kuwa mfanyabiashara Niffer amepigwa sana na amechukuliwa na watu wasiojulikana, Niffer ambaye kwa siku za ivi karibuni amekuwa akionekana kucheza Challenge Nywinywi katika kurasa zake za mitindao ya kijamii.
Hizo post kabla hajatekwa hakua na hili wala lile ndio akavamiwa, duka lake sasa hivi pameshafungwaHii habari ina walakini maana page ya Niffer imeendelea kupost halafu hakuna chanzo kingine cha habari zaidi ya Faiza. Tujipe muda kujiridhisha na hii habari.
Ngoja JamiiCheck waje wakupe muongozo.
Yaan jamaa wamegeuka kuwa mashetani haswa,hii ni zaidi ya KagameHawa jamaa hawaogopi tena yeyote wanaweza wakapita naye aisee...