Faiza Foxy live interview on DJ sepetu show!!

FaizaFoxy
 
Aisee Jose
Umeonja kidogoo nini[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Nilikuwa sijaonja wala nini, tulikuwa tumehitilafiana na baadhi ya members walikuwa wananishutumu kwa nini nauliza maswali mara kwa mara...wameniandama wee nikaamua kutulia na muda mchache uliopita nimeuliza maswali yangu yote kwa ujumla sehemu moja( kama FaizaFoxy alivyoniambia nivute subira) ili nisionekane naharibu uzi wa watu ( nafanya fujo)
 
Nasubiri hapa.
 
Unafiki wa kiwango cha juu huu.

Swala ya magharibi imekupita, ngoja nione kama Ishaa utaenda kuswali.
Ni nani ambaye ataacha punda wake azame kisimani na yeye kwenda kusali?
Bibie Faiza kuyajibu maswali haya kapata thawabu mbele ya Allah.
 
Kujitoa hasa (risk taker)
 
Interview inanoga kwa kujibu maswali ya wanachama wote, kwasababu kila mtu anadukuduku lake.
Sahihi tukisema hivi wengine wanatuona tumelewa tunaleta fujo kwenye huu uzi kumbe sio..inapendeza muandaaji akayasikiliza haya maoni lakini ndio kwanza anaanzisha ligi ndogo na baadhi ya watu...kuanzisha thread yeye isiwe ndio sababu ya kulimit maswali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…