Faiza Foxy live interview on DJ sepetu show!!

Faiza Foxy live interview on DJ sepetu show!!

Hapo nyuma kidogo kuna bandiko unadai kuwa ulikatishwa ndoto yako ya kusoma ili uolewe ,sasa je ni kitu gani hasa kilichochagiza suala hilo?

1)Je familia yako ilikuwa haijiwezi kiuchumi mpaka wakaamua kukuoza ili wapoze machungu ya ugumu wa maisha?

2)Je ulikuwa machepele sana kiasi kwamba wazazi wako wakahofia unaweza kuwaletea mimba isiyo na baba nyumbani mwisho wa siku ukawatia aibu?

3)Je kulikuwa na ulazima wowote wa ziada uliopelekea wewe kuolewa angali mdogo kiumri?

Na je kama uliolewa hali ya kuwa bado hujamaliza masomo yako sasa je;

1) Huyo mume wako ndiye aliyekulipia karo ya shule na vyuo mpaka unahitimu au ni wazazi wako ndiyo waliosimamia suala hilo?

2)Ni changamoto zipi ulizokumbana nazo wakati unasoma na pia ni mke wa mtu?

3)Je ulijiunga na shule kabla hujamzalia mume wako au ulimzalia baada ya kuhitimu?

4)Kitu gani kilichopelekea urudishwe tena shule wakati hapo awali ulikatishwa masomo yako?
FaizaFoxy
 
2812dd52233717cb08c408030492c09a.jpg
Duh!....Mkuu sioni option ya kudelete account!
 
Aisee Jose
Umeonja kidogoo nini[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Nilikuwa sijaonja wala nini, tulikuwa tumehitilafiana na baadhi ya members walikuwa wananishutumu kwa nini nauliza maswali mara kwa mara...wameniandama wee nikaamua kutulia na muda mchache uliopita nimeuliza maswali yangu yote kwa ujumla sehemu moja( kama FaizaFoxy alivyoniambia nivute subira) ili nisionekane naharibu uzi wa watu ( nafanya fujo)
 
Jibu maswali yafuatayo


1)Una elimu gani ya dini na uliipatia nchi ipi/zipi?

2)Una swali? na je kama unaswali kwa nini sasa hivi ni muda wa swala lakini wewe upo humu kujibu maswali ya Sepetu na je maswali yake ni muhimu kuliko swala?

3)Quran imekunufaisha vipi kwa maisha unayoishi?

4)Je umeolewa ndoa ya mitala au ndoa ya mke mmoja na mume mmoja?

5)Mtoto wako wa kwanza ulimpata ukiwa na umri gani na je ulimpata ndani ya ndoa au nje ya ndoa?

6)Je wakati unaolewa ulikuwa umefikisha angalau miaka 20?


Jibu haya kabla sijakutwanga maswali mengine.
Nasubiri hapa.
 
Unafiki wa kiwango cha juu huu.

Swala ya magharibi imekupita, ngoja nione kama Ishaa utaenda kuswali.
Ni nani ambaye ataacha punda wake azame kisimani na yeye kwenda kusali?
Bibie Faiza kuyajibu maswali haya kapata thawabu mbele ya Allah.
 
Ujasiriamali ni mgumu sana. Nadhani ndiyo maana kuna "ujasiri" kwenye hilo neno.

Mafanikio yapo nashukuru lakini si ya kufumba na kufumbua.

Muhimu ni nidhamu, ukweli na "consistency".

Bila hivyo huwezi kujenga jina zuri na bila jina zuri sahau ujasiriamali.
Kujitoa hasa (risk taker)
 
Interview inanoga kwa kujibu maswali ya wanachama wote, kwasababu kila mtu anadukuduku lake.
Sahihi tukisema hivi wengine wanatuona tumelewa tunaleta fujo kwenye huu uzi kumbe sio..inapendeza muandaaji akayasikiliza haya maoni lakini ndio kwanza anaanzisha ligi ndogo na baadhi ya watu...kuanzisha thread yeye isiwe ndio sababu ya kulimit maswali
 
Back
Top Bottom