FaizaFoxy: Nasaha na Ushauri wa kijamii usio wa kawaida. Nakaribisha maswali

Vijana hapa wanauliza wewe ni mzaramo, mluguru, mmakonde au mndengereko?

Vijana hapa wanauliza wewe ni mzaramo, mluguru, mmakonde au mndengereko?
Hapa siyo sehemu yake, bofya link hiyo, utapata jibu:

 
Unaanza ubaguzi?

Una haki ya kuamini upendacho, upo huru. Huu uzi haunihusu mimi "personally", nyuzi zinazonihusu "personally" zipo, unataka ya kunitongoza au ya "general knowledge" nikuwekee link?
 
Nakuja na mambo ya "compatibility" mazito sana, ntayaleta kidogo kidogo, kwa namba. Utafaidika mengi sana.

Kaa mkao wa kula.
 
Kwenye biblia hakuna nabii issa au unamuongelea isaka mtoto wa Ibrahimu?
mambo ya dini general siyo hapa, hapa vifungu vya dini vyenye uhusiano na mada tu.

Hamisheni mjadala wa dini uzi wangu wa "general knowledge" link hiyo chini:


 
Je nikweli kwamba MTU unaweza kudumisha ndoa Kama unashuka chumvini Mara kwa Mara.
Tukishuka huko chumvini wanawake wanatuona Kama watu wenye mahaba au wanatuona Kama mabumunda Fulani.
Hiyo elimu ya kujamiiana, baadae ntakuja na vipengele vya zipi ni sifa za mwanamme na zipi sifa za mwanamke.

Utanikumbusha nikichelewa sana.
 
Hadi leo mahusiano ni fumba la imani hakuna anaejua mahusiano hususani ya kimapenzi ni nini maana kila alieingia na kutoka analia, alie ndani analia, anaetaka kuongia tena nae analia.
Hili hata lingekuwa janga la kitaifa serikali bado ingeshindwa
Nini usichokijuwa? Usifikiri kama wewe hujuwi basi wote hawajuwi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…