FaizaFoxy: Nasaha na Ushauri wa kijamii usio wa kawaida. Nakaribisha maswali

Dalili za hii stori zinaelekea kuonyesha kwamba Apartment ya Mama mkwe tamu. Kuliko ya binti yake.
 
Utaharibu Uzi wa watu,unatukwaza wakristo kwa kuongelea vibaya Imani yetu tena kwa kupotosha.Kama huwezi kwendana na mada kausha,anzisha Uzi wako wa kuuponda ukristo
 
Huo ni uongo kuwa ndoa zimeanzishwa na uislam,ndoa zilikuwepo hata kabla ya uislam na ukristo.
 
Utaharibu Uzi wa watu,unatukwaza wakristo kwa kuongelea vibaya Imani yetu tena kwa kupotosha.Kama huwezi kwendana na mada kausha,anzisha Uzi wako wa kuuponda ukristo
Sorry kama ukweli unakukwaza.
Nikuulize swali dogo tu...Nani kaiandika injili ya Mathayo?
 
Ukristo ni Imani inayofwata msingi wa mafunzo ya Mungu kupitia Yesu Kristo,Yesu alibatizwa mwaka wa 29W.K ndipo akawa Kristo na ndipo alipianzisha Imani ya kikristo maana hapo kabla waisraeli au wayahudi walikuwa na dini yao ya uyahudi,nakusisitizia achana na maswla ya kashfa kwenye dini za watu,halafu usiwe unazungumzia mambo usiyoyajua kiundani.
 
Sorry kama ukweli unakukwaza.
Nikuulize swali dogo tu...Nani kaiandika injili ya Mathayo?
Ukweli hauwezi kunikwaza ila wewe unazungumzia mambo usiyoyajua,aliyeandika kitabu Cha Mathayo ni yemwenywe mtume Mathayo,ambae mwanzoni alikuwa mkusanya Kodi kwenye mji wa kapernaumu na Yesu akamwambia amfwate awe mfuasi wake,miaka yote mitatu na nusu ya huduma ya Yesu Kristo Mathayo alikuwa ni mtu wa karibu wa Yesu kama mitume wenzake
 
na mimi nikisema ukristo uliletwa na mjerumani kurahisisha biashara ya colonialism imekaaje?
 
Wewe hayo mafunzo ya Yesu umeyasomea wapi au umeyajulia wapi?
 
Una uhakika na ulichoandika au umejitungia tu kichwani mwako. Kama una uhakika weka ushahidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…