FaizaFoxy: Nasaha na Ushauri wa kijamii usio wa kawaida. Nakaribisha maswali

Vizuri kwako ni mama ila kwangu ni bibi.

Napenda hadidhi za FaizaFoxy
 
...Inaendelea:

"Haya mkae salama, nadhani sitorudi leo". Hilo la siku zingine kutokurudi mama hata wiki, lilikuwa kawaida kabla hata hawajahamia flat ya Kariakoo, si unajuwa singo mama wa mjini tena bado kijana.

Mambo yakawa yanaendelea hivyo, mama akionekana siku moja, wiki, wiki mbili haonekani, binti nae akawa analea kitoto chake mpaka kinaanza kutembea, siku hiyo mama kaja kwa binti yake akamwambia "mwanangu hapa kwenye flat yako kodi inakwisha karibuni, inabidi ujitayarishe kuhamia nyumbani kwangu, badala ya kuendelea kulipa hapa na mimi nyumba kubwa.

Binti kidogo akastuka, mama kodi hapa sijuwi inakwisha lini na shillingi ngapi, analipa mwenyewe baba...

Itaendelea, In shaa leo tutaimalizia.

...Mama wewe umejuwaje kodi inakwisha?
 
Very interesting
 
FaizaFoxy ikiendelea unitag
nzuri sana hii
 
ukweli ni kwamba huna akili ya kushauri mtu kitu chochote zaidi ya dini.
 
Ukiweka mwendelezo nitag please
 
FaizaFoxy
 
Please usimfanyie hivyo Kijana,hata ukijua yeye asijue sio kosa lake....ataumia sana najaribu kufikiri at age of 20 niambiwe baba yangu sio baba yangu🤯


Mambo magumu haya, Imagine ningemcheki akiwa na 4 years? Chance ni kubwa ni wa kwangu, ila kuna mazingira yalitokea back in 1998 ndo yanafanya niwaze haya
 
Kuna mambo kadhaa ya kuzingatia kabla ya watu kuowana.

We are not perfect. Muhimu zaidi ni kufata maadili na mafundisho ya dini zetu kila siku ya maisha yetu.

Kilichobaki katika kesi yako ni kureconcile, ikishindikana mnawachana, kila mmoja anaanza upya.
 
mnashindwaje Na Nyinyi Kututupia Majini Ya Kikristo Ili Tuombewe Msikitin Maana Sisi Msikitin Tunaswal Tunaondoka Hatuna Muda Wa Kutoa Majini Turushieni Majini Yenu Au Nyinyi Mungu Wenu Hana Elimu Ya Kuwafanya Mfuge Majini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…