Faiza sio Muislamu bora kama anavyoji-potray humu...Sio mtu wa haki na mema kiivyo...
Faizafoxy ni very arrogant and her arrogance is sometimes beyond stupidity....
Hivi umetumia criteria gani mpaka kufikia hatua kuyasema mawazo ya MUNGU kwamba yeye na wanaye Ni wachamungu na wataiona pepo?
hawa alimpa tunda Adamu kiroho safi. we kwa nini Unataka kuninyima tunda hilo !! Umepewa bure toa bure.Biblia Mwanzo 2:
17 walakini matunda ya mti wa ujuzi wa mema na mabaya usile, kwa maana siku utakapokula matunda ya mti huo utakufa hakika.
Kwa maandiko yako upo kundi lipi kati ya haya?...hawa alimpa tunda Adamu kiroho safi. we kwa nini Unataka kuninyima tunda hilo !! Umepewa bure toa bure.
kulbhaiana waislamu kupeana
Biblia sijui Quran hizo ni hadithi tu, Ndio maana kisheria tunarefer hivo vitabu kama fasihi tuKwa maandiko yako upo kundi lipi kati ya haya?...
Biblia 1 Wakorintho 6
9 Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti,
10 wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi.
Waislam waandamana jijini Dar dhidi ya Dk Ndalichako wa NECTA - JamiiForumsUnapokutana na mtu anayekwambia eti Necta inawakata maksi watoto wa kiislam kwenye mitihani, akili yake lazima uiangalie mara 2 kama siyo 3.
Umeliona swali lakini au ndiyo wale mliosomea ujinga shule? Rudia...Biblia sijui Quran hizo ni hadithi tu, Ndio maana kisheria tunarefer hivo vitabu kama fasihi tu
Wewe huenda umesomea UPUMBAVU, reference hizo unazoleta kwangu hazipo valid.. Hakuna literature yoyote iwe biblia au Quran inayoelezea jinsi mimi nilivyo.. Swala la sijui la ufalme wa mungu mnalijua waamini wa hizo literature.. Mimi Nadhani haipo valid kwanguUmeliona swali lakini au ndiyo wale mliosomea ujinga shule? Rudia...
Kwa maandiko yako upo kundi lipi kati ya haya?...
Biblia 1 Wakorintho 6
9 Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti,
10 wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi.
Hujajibu swali, umeliona swali lakini au ndiyo wale mliosomea ujinga shule? Rudia...Wewe huenda umesomea UPUMBAVU, reference hizo unazoleta kwangu hazipo valid.. Hakuna literature yoyote iwe biblia au Quran inayoelezea jinsi mimi nilivyo.. Swala la sijui la ufalme wa mungu mnalijua waamini wa hizo literature.. Mimi Nadhani haipo valid kwangu
Unapokutana na mtu anayekwambia eti Necta inawakata maksi watoto wa kiislam kwenye mitihani, akili yake lazima uiangalie mara 2 kama siyo 3.
Weka ushahidi wa kinachokukera katika maandiko yangu. Kama huna, ujijuwe u mjinga tu mwenye chuki binafsi.Nilishamvua vyeo vyoote tangu nijue kuwa na yy ni extremist (itikadi kali) kupandikiza mihemko ya kidin kwenye platform kama hii.Yan bila kujal umri wa usomi wake ninamuona hovyoo tu.
Ushauri wangu ni:
Kila mtu ana dini na ana Mungu wake.Kama ni ulokole baki nao kama ni upagani baki nao kama ni uislam baki nao ni wako .usianzishe malumbano humu.
hukovmadrasa hamkufundishwa jinsi ya kuwajibu watu wa peponi??Kwa maandiko yako upo kundi lipi kati ya haya?...
Biblia 1 Wakorintho 6
9 Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti,
10 wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi.
FF anawaumiza sana roho kwa ukweli wake, sema haya ni ya nani?...Ni hatari sana mtu kutumia uso wa dini kujitafutia uhalali!
FF is the definition of this gutter gymnastics!
FF anawaumiza sana roho kwa ukweli wake, sema haya ni ya nani?...
Waislam waandamana jijini Dar dhidi ya Dk Ndalichako wa NECTA - JamiiForums
Ficha upumbavu wako usifiche hekima zako.FF,unatakiwa kujiuliza are the claims really true hizo ndio sababu?
Kuandamana ni tokeo la hisia za matamanio kuamshwa aidha kwa definition ya kweli au ya uongo...
Kuna vinara waanzilishi wa maandamano,hao ndio hutoa definition ya wanachoandamania,wametoa definition ya kweli kwa sababu za kweli hasa kuamsha matamanio ya hilo kundi au wali-misinterpreat kukidhi agenda yao?
Hivi wewe unaweza niambia hizo claims ni true kiasi gani au bandwagoner tu kwasababu una emotional connection ya kidini na hizo claims?
Your emotional connection na hizo claims za kidini ni so strong mpaka logic haina meaning kwako,emotion tu ndio ina meaning,of which italeta bias kwenye arguments zako,and then utakua stupid kama stupids wengine!
Ficha uupumbavu wako usifiche hekima zako.
Ungeusoma huo uzi ungeona anaelaalamika na aliyeitisha hayo maandamano ni mufti wala Tanzania wa wakati huo.
Wacheni kukurupuka.