FAIZAFOXY ni TUNU ya JF ni mama bora mwenye malezi bora tumkumbatie

Faiza sio Muislamu bora kama anavyoji-potray humu...Sio mtu wa haki na mema kiivyo...

Faizafoxy ni very arrogant and her arrogance is sometimes beyond stupidity....

Unapokutana na mtu anayekwambia eti Necta inawakata maksi watoto wa kiislam kwenye mitihani, akili yake lazima uiangalie mara 2 kama siyo 3.
 
Hivi umetumia criteria gani mpaka kufikia hatua kuyasema mawazo ya MUNGU kwamba yeye na wanaye Ni wachamungu na wataiona pepo?

Mathayo 7:
16 Mtawatambua kwa matunda yao. Je! Watu huchuma zabibu katika miiba, au tini katika mibaruti?
 
Biblia Mwanzo 2:
17 walakini matunda ya mti wa ujuzi wa mema na mabaya usile, kwa maana siku utakapokula matunda ya mti huo utakufa hakika.
hawa alimpa tunda Adamu kiroho safi. we kwa nini Unataka kuninyima tunda hilo !! Umepewa bure toa bure.

kulbhaiana waislamu kupeana
 
Kwa maandiko yako upo kundi lipi kati ya haya?...

Biblia 1 Wakorintho 6
9 Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti,
10 wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi.
 
Biblia sijui Quran hizo ni hadithi tu, Ndio maana kisheria tunarefer hivo vitabu kama fasihi tu
 
Umeliona swali lakini au ndiyo wale mliosomea ujinga shule? Rudia...

Kwa maandiko yako upo kundi lipi kati ya haya?...

Biblia 1 Wakorintho 6
9 Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti,
10 wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi.
 
Umeliona swali lakini au ndiyo wale mliosomea ujinga shule? Rudia...

Kwa maandiko yako upo kundi lipi kati ya haya?...

Biblia 1 Wakorintho 6
9 Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti,
10 wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi.
Wewe huenda umesomea UPUMBAVU, reference hizo unazoleta kwangu hazipo valid.. Hakuna literature yoyote iwe biblia au Quran inayoelezea jinsi mimi nilivyo.. Swala la sijui la ufalme wa mungu mnalijua waamini wa hizo literature.. Mimi Nadhani haipo valid kwangu
 
Hujajibu swali, umeliona swali lakini au ndiyo wale mliosomea ujinga shule? Rudia...

Kwa maandiko yako upo kundi lipi kati ya haya?...

Biblia 1 Wakorintho 6
9 Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti,
10 wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi.
 
Unapokutana na mtu anayekwambia eti Necta inawakata maksi watoto wa kiislam kwenye mitihani, akili yake lazima uiangalie mara 2 kama siyo 3.

Ni hatari sana mtu kutumia uso wa dini kujitafutia uhalali!

FF is the definition of this gutter gymnastics!
 
Nilishamvua vyeo vyoote tangu nijue kuwa na yy ni extremist (itikadi kali) kupandikiza mihemko ya kidin kwenye platform kama hii.Yan bila kujal umri wa usomi wake ninamuona hovyoo tu.
Ushauri wangu ni:
Kila mtu ana dini na ana Mungu wake.Kama ni ulokole baki nao kama ni upagani baki nao kama ni uislam baki nao ni wako .usianzishe malumbano humu.
Weka ushahidi wa kinachokukera katika maandiko yangu. Kama huna, ujijuwe u mjinga tu mwenye chuki binafsi.
 
Kwa maandiko yako upo kundi lipi kati ya haya?...

Biblia 1 Wakorintho 6
9 Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti,
10 wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi.
hukovmadrasa hamkufundishwa jinsi ya kuwajibu watu wa peponi??
 
FF anawaumiza sana roho kwa ukweli wake, sema haya ni ya nani?...

Waislam waandamana jijini Dar dhidi ya Dk Ndalichako wa NECTA - JamiiForums

FF,unatakiwa kujiuliza are the claims really true hizo ndio sababu?

Kuandamana ni tokeo la hisia za matamanio kuamshwa aidha kwa definition ya kweli au ya uongo...

Kuna vinara waanzilishi wa maandamano,hao ndio hutoa definition ya wanachoandamania,wametoa definition ya kweli kwa sababu za kweli hasa kuamsha matamanio ya hilo kundi au wali-misinterpreat kukidhi agenda yao?

Hivi wewe unaweza niambia hizo claims ni true kiasi gani au bandwagoner tu kwasababu una emotional connection ya kidini na hizo claims?

Your emotional connection na hizo claims za kidini ni so strong mpaka logic haina meaning kwako,emotion tu ndio ina meaning,of which italeta bias kwenye arguments zako,and then utakua stupid kama stupids wengine!
 
Ficha upumbavu wako usifiche hekima zako.

Ungeusoma huo uzi ungeona anaelalamika na aliyeitisha hayo maandamano ni mufti wa Tanzania wa wakati huo.

Wacheni kukurupuka.
 
Ficha uupumbavu wako usifiche hekima zako.

Ungeusoma huo uzi ungeona anaelaalamika na aliyeitisha hayo maandamano ni mufti wala Tanzania wa wakati huo.

Wacheni kukurupuka.

I see muislamu bora ambae angetakiwa awe mfano bora kwa sisi tusioamini dini wala Mungu ndio kwanza anatufundisha kutukana...

What a righteous Muslim woman!

Nimuamini Mufti yeye nani? Ni mwanadamu shenzi kama nilivyo mie na wewe!

Ni muongo kama mimi na wewe!

Nataka well researched proofs kwamba kweli mnaonewa kwa misingi ya solely kidini!

Na hii tabia yako ya kuwawekea watu msururu wa mi-threads eti wakarudie kusoma kupata majibu ya maswali yao ni technically not possible...

Siwezi pitia comments 1000 za watu mbalimbali kutafuta comment yenye jibu ninalotafuta!

Ombeni JF wawape citing facility ambayo unamuelekeza exact which comment number aende,sio uzi mzima you dummies!
 
Back
Top Bottom