Faizafoxy tunaomba mrejesho kutoka Vitendo Saccos

Faizafoxy tunaomba mrejesho kutoka Vitendo Saccos

Habari wana JF!!
Mwanzon mwa 2017 aliibuka mwanamama aliyeanzisha uzi Hapa kuhusu VITENDO SACCOS. Mambo mengi yaliendelea na updates nyingi kuonesha kuwa mradi wao Ulikuwa Uko vp!! Mmoja wa wadau Maarufu humu ambaye alionekana kuunga mkono na kuanza kushiriki Ni FaizaFoxy.

Sasa Mimi Kama mdau wa JF ambae Sasa natka kujuwa wamefikia wapi, Faiza naomba tupe mrejesho wa Faida au mradi ulishakufa? Maana wengine kipindi hiko walikuwa wanategemea mirejesho ya wadau waliowekeza ili na wao waamini ili wawekeze huko.... Sasa mbona Hakuna update Toka 28 October 2017? Au humu Hakuna mdau aliyeshiriki ile saccos?
Hahahaha FaizaFoxy habari za siku?
 
Hehe kajibu kama vile na yeye hakua mhusika......wakati na yeye kwenye ile thread alisema kawekeza kwenye project zao kadhaa

"Mhusika" wa nini?
Sikuwekeza saccos yoyote ile, nimewekeza kwa mtu binafsi anaitwa Mzee Abdul ambae bado nawekeza nae kwenye miradi kadhaa kama ninavyowekeza kwa wengine.
 
Back
Top Bottom