Kumbeeeee.. basi Biblia inatufundisha tusiwe wema mpaka tukikaribia kufa ndio tutubu
Kwan mtu akikwambia wewe ni binadamu,anatafsirika Kuwa amejikana yeye sio mmoja wa hao viumbe?Umesahau kuwa wewe pia ni Homo Sapiens?
Au wewe ni Zinjanthropus?
Kuingia ufalme wa MBINGUNI ni kwa neema tu na kuwa wanyenyekevu kwa Yeye ambaye hutoa pumzi.[emoji23][emoji23][emoji23] biblia ina ujanja mwingi sana
Hhhhhhhh we jamaaSasa hivi Anawaongoza Malaika Huko
Kuna watu wanatamani wao ndio wawe wanaamua nani aingie Mbinguni na nani aende motoni🤣Wewe siyo Mungu!
Hiyo paragraph ya mwisho ndiyo imeharibu "kwa maoni yangu"Msemaji wa familia ya hayati Magufuli amesema mpendwa wao kabla ya kufa alibahatika kuongoza sala ya maombi ya kumuombea pamoja na nyimbo.
Pia alipata sakramenti ya toba na mafuta matakatifu.
Kadhalika Mufti wa Tanzania sheikh Zubeir alimuombea.
Katika maisha ya binadamu hii ni neema kubwa ambayo watu wengi huikosa wawapo kufani.
Binafsi sitaomboleza kwa kuvaa nguo nyeusi bali nitavaa nguo nyeupe kwa ajili ya shukrani kwa Mungu kwa maisha ya John hapa duniani.
Maendeleo hayana vyama!
===
Msemaji wa familia ya Hayati Magufuli Ngusa Samike amesema "kabla ya kifo chake Rais Magufuli aliongoza sala na nyimbo akiwa na Madaktari na Wauguzi wake."
Alisema kabla ya kifo pia, "Mwadhama Polycap Kardinali Pengo na Paroko wa Parokia ya St. Peter Padre Alister Makubi walimpatia Rais Magufuli huduma ya kiroho ya mpako mtakatifu,"
"Pia Shekhe Mkuu wa Tanzania Mufti Aboubakar Zubeir naye alimfanyia maombi kabla ya kifo chake."
Wanatapatapa kutunga uongo left right and center. Mama Samia nae keshakuwa muongo tu.Lakini jana wakati anahojiwa na UTV Shekh Mkuu Zuberi alipoulizwa kwamba alipomtembelea wàkati anaumwa Mh. Hayati Rais Magufuli, Shekh alijibu kwamba kwa siku za karibuni toka kuugua kwake sijawahi kumtembelea..."
Hili la wanafamilia kwamba aliombewa na Shekh Zuberi wamelitoa wapi?
Kuna watu kazi yao ni kuumba mambo kwa mtazamo wao binafsi, usishangae ni mtu mmoja ametunga hiyo story kuupumbaza ummaHao watu Mashekhe na Maaskofu walikwenda mzee alikuwa keshazimika. Sasa hiyo sala ya toba aliongozwa akiwa Marehemu?
Toba unaifanya mwenyewe kwa kuwa wewe ndio unajua dhambi zako. Sasa unataka nani atubu kwa niaba yako wakati unazo fahamu bado za kutubu?Haijatajwa. Imetajwa wapi? Yaani badala aongozwe yeye tena ndo aliongoza sala kuwaswalisha wengine. Pia walishindwa kumwambia afanye toba.
Akili ya mbuKuna makosa aina mbili katika imani;
1) Kumkosea Mungu.
2) Kumkosea Mwanaadamu.
Kuna baadhi ya makosa mungu hasamehi mpaka ukamuombe msamaha uliemkosea kwanza, mfano Kulala na Mke/Mume Wa Mtu. Hapa kwa mungu kosa ni kuzini, kwa mwanaadamu umemchafulia haki yake inayotambulika mpaka mbinguni.
Msamaha kwa mungu unakubalika kwa kuapa kutokurudia tena kosa, sambamba na kurekebisha ulipo kosea (Mfano umefunga mtu gerezani kwa chuki, unapaswa kumwachia huru kwanza na kumpa fidia stahiki kwa kifungo ulichompa, halafu ndio unaomba msamaha kwa mungu na kuapa kutokurudia tena kufunga mtu asie na hatia - Ukiua mtu asie na hatia, unapaswa kukiri kosa na kuwaomba msamaha wana familia kwanza then unarudi kwa mungu kutubia na kuapa kutokurudia tena kuua).
Then walio dhulumiwa na kufungwa magerezani kwa chuki basi aliwaachia kabla ya kutubia dhambi zake?
Alikwenda kuwaomba msamaha familia za waliopoteza maisha yao kwa kivuli cha watu wasiojulikana?
Alirudisha haki za watu waliopewa kesi za uhujumu uchumi ili walipishwe fidia?
Alirudisha haki za watu waliobambikozwa KODI na MAKOSA iwe ya trafik barabarani n.k?
Hata wakati wa Kikwete wasiofahamika walikuwepo. Magufuli alihusikaje? Bata kama humpendi mtu bora unyamaze badala ya kumtupia lawama asizostahili.Kuna makosa aina mbili katika imani;
1) Kumkosea Mungu.
2) Kumkosea Mwanaadamu.
Kuna baadhi ya makosa mungu hasamehi mpaka ukamuombe msamaha uliemkosea kwanza, mfano Kulala na Mke/Mume Wa Mtu. Hapa kwa mungu kosa ni kuzini, kwa mwanaadamu umemchafulia haki yake inayotambulika mpaka mbinguni.
Msamaha kwa mungu unakubalika kwa kuapa kutokurudia tena kosa, sambamba na kurekebisha ulipo kosea (Mfano umefunga mtu gerezani kwa chuki, unapaswa kumwachia huru kwanza na kumpa fidia stahiki kwa kifungo ulichompa, halafu ndio unaomba msamaha kwa mungu na kuapa kutokurudia tena kufunga mtu asie na hatia - Ukiua mtu asie na hatia, unapaswa kukiri kosa na kuwaomba msamaha wana familia kwanza then unarudi kwa mungu kutubia na kuapa kutokurudia tena kuua).
Then walio dhulumiwa na kufungwa magerezani kwa chuki basi aliwaachia kabla ya kutubia dhambi zake?
Alikwenda kuwaomba msamaha familia za waliopoteza maisha yao kwa kivuli cha watu wasiojulikana?
Alirudisha haki za watu waliopewa kesi za uhujumu uchumi ili walipishwe fidia?
Alirudisha haki za watu waliobambikozwa KODI na MAKOSA iwe ya trafik barabarani n.k?
S.t.u.p.i.d.y watu tunaomboleza unaleta visasi vyako vya kinyimwa nafasi ya kuliibia taifa na kula rushwa!!Angewaomba na msamaha wote aliowakosea.
Malofa katika ubora wenu!!Kuna makosa aina mbili katika imani;
1) Kumkosea Mungu.
2) Kumkosea Mwanaadamu.
Kuna baadhi ya makosa mungu hasamehi mpaka ukamuombe msamaha uliemkosea kwanza, mfano Kulala na Mke/Mume Wa Mtu. Hapa kwa mungu kosa ni kuzini, kwa mwanaadamu umemchafulia haki yake inayotambulika mpaka mbinguni.
Msamaha kwa mungu unakubalika kwa kuapa kutokurudia tena kosa, sambamba na kurekebisha ulipo kosea (Mfano umefunga mtu gerezani kwa chuki, unapaswa kumwachia huru kwanza na kumpa fidia stahiki kwa kifungo ulichompa, halafu ndio unaomba msamaha kwa mungu na kuapa kutokurudia tena kufunga mtu asie na hatia - Ukiua mtu asie na hatia, unapaswa kukiri kosa na kuwaomba msamaha wana familia kwanza then unarudi kwa mungu kutubia na kuapa kutokurudia tena kuua).
Then walio dhulumiwa na kufungwa magerezani kwa chuki basi aliwaachia kabla ya kutubia dhambi zake?
Alikwenda kuwaomba msamaha familia za waliopoteza maisha yao kwa kivuli cha watu wasiojulikana?
Alirudisha haki za watu waliopewa kesi za uhujumu uchumi ili walipishwe fidia?
Alirudisha haki za watu waliobambikozwa KODI na MAKOSA iwe ya trafik barabarani n.k?
Nani aliibie taifa? Wafiwa mbona mnakua wakali sana.S.t.u.p.i.d.y watu tunaomboleza unaleta visasi vyako vya kinyimwa nafasi ya kuliibia taifa na kula rushwa!!
Sio lazima uwaiteToba anaombwa aliokosewa sio ukiwa kitandani unaomba toba mwenyewe na ndugu zako,waite uliowakosea alafu waombe
Mkuu, unenikumbusha mama wangu mkubwa aliyekuwa anakaribia miaka 100 hivi ambaye alifariki dunia mwaka jana mwezi wa tisa.Kuna makosa aina mbili katika imani;
1) Kumkosea Mungu.
2) Kumkosea Mwanaadamu.
Kuna baadhi ya makosa mungu hasamehi mpaka ukamuombe msamaha uliemkosea kwanza, mfano Kulala na Mke/Mume Wa Mtu. Hapa kwa mungu kosa ni kuzini, kwa mwanaadamu umemchafulia haki yake inayotambulika mpaka mbinguni.
Msamaha kwa mungu unakubalika kwa kuapa kutokurudia tena kosa, sambamba na kurekebisha ulipo kosea (Mfano umefunga mtu gerezani kwa chuki, unapaswa kumwachia huru kwanza na kumpa fidia stahiki kwa kifungo ulichompa, halafu ndio unaomba msamaha kwa mungu na kuapa kutokurudia tena kufunga mtu asie na hatia - Ukiua mtu asie na hatia, unapaswa kukiri kosa na kuwaomba msamaha wana familia kwanza then unarudi kwa mungu kutubia na kuapa kutokurudia tena kuua).
Then walio dhulumiwa na kufungwa magerezani kwa chuki basi aliwaachia kabla ya kutubia dhambi zake?
Alikwenda kuwaomba msamaha familia za waliopoteza maisha yao kwa kivuli cha watu wasiojulikana?
Alirudisha haki za watu waliopewa kesi za uhujumu uchumi ili walipishwe fidia?
Alirudisha haki za watu waliobambikozwa KODI na MAKOSA iwe ya trafik barabarani n.k?
Wakati hayo yote yanafanyika, Waziri Mkuu anatudanganya tu! na kutushangaa tunao muulizia Marehemu!
Tena akaenda mbali zaidi kwa kutuuliza tulitaka tumuone wapi eti! Magomeni!! Kariakoo sokoni! [emoji848]
Sio kila ugonjwa wa moyo mtu anakufa ghafla, mbona tupo nao wengi mtaani wanajulikana wana magonjwa ya moyo.?, Na anaweza akaumwa huku anaongea na baadae hali ikarudi sawaAna kufa ghafla!, ndio sababu imetoka iyo comment hapo