Familia: Hayati Magufuli aliongoza sala na nyimbo kabla ya kifo chake, alipakwa mafuta matakatifu. Pia aliombewa na Mufti

[emoji23][emoji23][emoji23] biblia ina ujanja mwingi sana
Kuingia ufalme wa MBINGUNI ni kwa neema tu na kuwa wanyenyekevu kwa Yeye ambaye hutoa pumzi.
Kama ni msomaji wa biblia, utakumbuka yule mnyang'anyi ambaye alitundikwa mtini pamoja na Yesu. Maisha yake yalijawa na matendo maovu. Lkn kipindi cha mwisho kabla ya kifo chake, picha ya maisha yake ilibadirika, kwa tendo moja tu la imani. Yesu akampa green light kwamba utaingia kwenye Paradiso. Hivyo akasamehewa yote.

Kwa upande mwingine alikuwepo mmoja aliyeitwa Yuda Iscariot. Yeye alikuwa na Yesu miaka yote, lkn mwishoni tunajua kilichotokea.

Pia kuna mifano mingi inayoonesha ufalme wa MBINGUNI ulivyo. Mmoja ni ule wa vibarua, kwa kifupi ni kuwa walikuja kufanya kazi kwa tajiri kwa muda tofauti tofauti. Wengine saa 12 alfajiri, wengine saa 3, wengine 6, nk. Lkn wote wakapewa mshahara sawa. Hilo likapelekea wengine kulalamika, hususan ni wale waliowahi kufika alfajiri. Lkn tajiri akawaambia mbona makubaliano yalikuwaje? Basi ndivyo ufalme wa MBINGUNI ulivyo, haiangalii una muda gani kutumikia, bali ni uhusiano wako na Muumba wako pindi unaondoka duniani.
 
Msemaji wa familia ya hayati Magufuli amesema mpendwa wao kabla ya kufa alibahatika kuongoza sala ya maombi ya kumuombea pamoja na nyimbo.

Pia alipata sakramenti ya toba na mafuta matakatifu.

Kadhalika Mufti wa Tanzania sheikh Zubeir alimuombea.

Katika maisha ya binadamu hii ni neema kubwa ambayo watu wengi huikosa wawapo kufani.

Binafsi sitaomboleza kwa kuvaa nguo nyeusi bali nitavaa nguo nyeupe kwa ajili ya shukrani kwa Mungu kwa maisha ya John hapa duniani.

Maendeleo hayana vyama!
===

Msemaji wa familia ya Hayati Magufuli Ngusa Samike amesema "kabla ya kifo chake Rais Magufuli aliongoza sala na nyimbo akiwa na Madaktari na Wauguzi wake."

Alisema kabla ya kifo pia, "Mwadhama Polycap Kardinali Pengo na Paroko wa Parokia ya St. Peter Padre Alister Makubi walimpatia Rais Magufuli huduma ya kiroho ya mpako mtakatifu,"

"Pia Shekhe Mkuu wa Tanzania Mufti Aboubakar Zubeir naye alimfanyia maombi kabla ya kifo chake."
Hiyo paragraph ya mwisho ndiyo imeharibu "kwa maoni yangu"
 
Lakini jana wakati anahojiwa na UTV Shekh Mkuu Zuberi alipoulizwa kwamba alipomtembelea wàkati anaumwa Mh. Hayati Rais Magufuli, Shekh alijibu kwamba kwa siku za karibuni toka kuugua kwake sijawahi kumtembelea..."

Hili la wanafamilia kwamba aliombewa na Shekh Zuberi wamelitoa wapi?
Wanatapatapa kutunga uongo left right and center. Mama Samia nae keshakuwa muongo tu.

I am sure wanamwambia aunge mkono hizo fix kwa “maslahi mapana ya Taifa”
 
Hao watu Mashekhe na Maaskofu walikwenda mzee alikuwa keshazimika. Sasa hiyo sala ya toba aliongozwa akiwa Marehemu?
Kuna watu kazi yao ni kuumba mambo kwa mtazamo wao binafsi, usishangae ni mtu mmoja ametunga hiyo story kuupumbaza umma
 
Haijatajwa. Imetajwa wapi? Yaani badala aongozwe yeye tena ndo aliongoza sala kuwaswalisha wengine. Pia walishindwa kumwambia afanye toba.
Toba unaifanya mwenyewe kwa kuwa wewe ndio unajua dhambi zako. Sasa unataka nani atubu kwa niaba yako wakati unazo fahamu bado za kutubu?
 
Kuna makosa aina mbili katika imani;

1) Kumkosea Mungu.

2) Kumkosea Mwanaadamu.

Kuna baadhi ya makosa mungu hasamehi mpaka ukamuombe msamaha uliemkosea kwanza, mfano Kulala na Mke/Mume Wa Mtu. Hapa kwa mungu kosa ni kuzini, kwa mwanaadamu umemchafulia haki yake inayotambulika mpaka mbinguni.

Msamaha kwa mungu unakubalika kwa kuapa kutokurudia tena kosa, sambamba na kurekebisha ulipo kosea (Mfano umefunga mtu gerezani kwa chuki, unapaswa kumwachia huru kwanza na kumpa fidia stahiki kwa kifungo ulichompa, halafu ndio unaomba msamaha kwa mungu na kuapa kutokurudia tena kufunga mtu asie na hatia - Ukiua mtu asie na hatia, unapaswa kukiri kosa na kuwaomba msamaha wana familia kwanza then unarudi kwa mungu kutubia na kuapa kutokurudia tena kuua).

Then walio dhulumiwa na kufungwa magerezani kwa chuki basi aliwaachia kabla ya kutubia dhambi zake?

Alikwenda kuwaomba msamaha familia za waliopoteza maisha yao kwa kivuli cha watu wasiojulikana?

Alirudisha haki za watu waliopewa kesi za uhujumu uchumi ili walipishwe fidia?

Alirudisha haki za watu waliobambikozwa KODI na MAKOSA iwe ya trafik barabarani n.k?
Akili ya mbu
 
Hata wakati wa Kikwete wasiofahamika walikuwepo. Magufuli alihusikaje? Bata kama humpendi mtu bora unyamaze badala ya kumtupia lawama asizostahili.
 
Kuna makosa aina mbili katika imani;

1) Kumkosea Mungu.

2) Kumkosea Mwanaadamu.

Kuna baadhi ya makosa mungu hasamehi mpaka ukamuombe msamaha uliemkosea kwanza, mfano Kulala na Mke/Mume Wa Mtu. Hapa kwa mungu kosa ni kuzini, kwa mwanaadamu umemchafulia haki yake inayotambulika mpaka mbinguni.

Msamaha kwa mungu unakubalika kwa kuapa kutokurudia tena kosa, sambamba na kurekebisha ulipo kosea (Mfano umefunga mtu gerezani kwa chuki, unapaswa kumwachia huru kwanza na kumpa fidia stahiki kwa kifungo ulichompa, halafu ndio unaomba msamaha kwa mungu na kuapa kutokurudia tena kufunga mtu asie na hatia - Ukiua mtu asie na hatia, unapaswa kukiri kosa na kuwaomba msamaha wana familia kwanza then unarudi kwa mungu kutubia na kuapa kutokurudia tena kuua).

Then walio dhulumiwa na kufungwa magerezani kwa chuki basi aliwaachia kabla ya kutubia dhambi zake?

Alikwenda kuwaomba msamaha familia za waliopoteza maisha yao kwa kivuli cha watu wasiojulikana?

Alirudisha haki za watu waliopewa kesi za uhujumu uchumi ili walipishwe fidia?

Alirudisha haki za watu waliobambikozwa KODI na MAKOSA iwe ya trafik barabarani n.k?
Malofa katika ubora wenu!!
 
Toba anaombwa aliokosewa sio ukiwa kitandani unaomba toba mwenyewe na ndugu zako,waite uliowakosea alafu waombe
Sio lazima uwaite

7 Nanyi mkiwa katika kusali, msipayuke-payuke, kama watu wa mataifa; maana wao hudhani ya kuwa watasikiwa kwa sababu ya maneno yao kuwa mengi.
8 Basi msifanane na hao; maana Baba yenu anajua mnayohitaji kabla ninyi hamjamwomba.
9 Basi ninyi salini hivi; Baba yetu uliye mbinguni, Jina lako litukuzwe, Ufalme wako uje,
10 Mapenzi yako yatimizwe, hapa duniani kama huko mbinguni.
11 Utupe leo riziki yetu.
12 Utusamehe deni zetu, kama sisi nasi tuwasamehevyo wadeni wetu
13 Na usitutie majaribuni, lakini utuokoe na yule mwovu. [Kwa kuwa ufalme ni wako, na nguvu, na utukufu, hata milele. Amina.]

Mathayo 6:7-13
 
Kuna makosa aina mbili katika imani;

1) Kumkosea Mungu.

2) Kumkosea Mwanaadamu.

Kuna baadhi ya makosa mungu hasamehi mpaka ukamuombe msamaha uliemkosea kwanza, mfano Kulala na Mke/Mume Wa Mtu. Hapa kwa mungu kosa ni kuzini, kwa mwanaadamu umemchafulia haki yake inayotambulika mpaka mbinguni.

Msamaha kwa mungu unakubalika kwa kuapa kutokurudia tena kosa, sambamba na kurekebisha ulipo kosea (Mfano umefunga mtu gerezani kwa chuki, unapaswa kumwachia huru kwanza na kumpa fidia stahiki kwa kifungo ulichompa, halafu ndio unaomba msamaha kwa mungu na kuapa kutokurudia tena kufunga mtu asie na hatia - Ukiua mtu asie na hatia, unapaswa kukiri kosa na kuwaomba msamaha wana familia kwanza then unarudi kwa mungu kutubia na kuapa kutokurudia tena kuua).

Then walio dhulumiwa na kufungwa magerezani kwa chuki basi aliwaachia kabla ya kutubia dhambi zake?

Alikwenda kuwaomba msamaha familia za waliopoteza maisha yao kwa kivuli cha watu wasiojulikana?

Alirudisha haki za watu waliopewa kesi za uhujumu uchumi ili walipishwe fidia?

Alirudisha haki za watu waliobambikozwa KODI na MAKOSA iwe ya trafik barabarani n.k?
Mkuu, unenikumbusha mama wangu mkubwa aliyekuwa anakaribia miaka 100 hivi ambaye alifariki dunia mwaka jana mwezi wa tisa.
Kila Padre alipokuwa akimtembelea na kumtaka afanye toba yeye alikuwa akikataa kwa kusema haoni dhambi yoyote aliyokuwa nayo.
Siku anaaga dunia naambiwa wakati akipelekwa hospitali ghafla walimsikia akimtaja bikira Maria, wa jina lake, na kusema maneno ambayo walihisi alikuwa akiongea nae.
 
Wakati hayo yote yanafanyika, Waziri Mkuu anatudanganya tu! na kutushangaa tunao muulizia Marehemu!

Tena akaenda mbali zaidi kwa kutuuliza tulitaka tumuone wapi eti! Magomeni!! Kariakoo sokoni! [emoji848]

Sasa tunamuona pale Taifa akiwa kimyaa. Hii aibu ni kubwa sana kwa Mr. PM
 
Ana kufa ghafla!, ndio sababu imetoka iyo comment hapo
Sio kila ugonjwa wa moyo mtu anakufa ghafla, mbona tupo nao wengi mtaani wanajulikana wana magonjwa ya moyo.?, Na anaweza akaumwa huku anaongea na baadae hali ikarudi sawa
 
Back
Top Bottom