Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,430
- 11,813
Ana kufa ghafla!, ndio sababu imetoka iyo comment hapo
Na tangu lini Msemaji wa afya ya Rais akawa Mwanafamilia?Lakini jana wakati anahojiwa na UTV Shekh Mkuu Zuberi alipoulizwa kwamba alipomtembelea wàkati anaumwa Mh. Hayati Rais Magufuli, Shekh alijibu kwamba kwa siku za karibuni toka kuugua kwake sijawahi kumtembelea..."
Hili la wanafamilia kwamba aliombewa na Shekh Zuberi wamelitoa wapi?
Kanzu ya laki mbili......!???? [emoji2960]Fix takatifu lini hao mamuft na maparoko walimuongoza Sara ya toba wakati tuliambiwa marehemu ni mzima anachapa kazi kwelikweli na waziri mkuu akiwa njombe kwenye msikiti na kavaa kanzu ya laki mbili siku moja kabla ya marehemu kukata roho?
Anyway mambo mengi muda hautoshi!
Dr John Pombe Magufuli hakua wa kufa leo wala kesho ; tatizo kubwa ni ile hali aliyoiweka na washauri wake kushindwa kuhakikisha Daktari wa Rais anakuwa na msimamo ; kama Ambavyo tulimlaumu Dr Mwakyusa kwa kifo cha mwalimu kwa uzembe na kumuacha Mwalimu Butiama akiwa amezidiwa huku yeye yuko dar na chaguo lake la kwenda general hospital ya at thomas kutibu leukemia badala ya india au China , ( Mwandosya alipona Leukemia india )
Dr Machemba hata kama ni home boy kazembeaa pamoja na washauri wengine akiwemo dr Ngwale hawa pamoja na walinzi wa Rais wamezembea sana
Rais Magufuli alitakiwa kwenda kubadili Pacemarker Ujerumani
walichukua hatua gani baada ya contact wa Magufuli Kijazi kfariki?
kama Magufuli aliugua akapata nafuuu hata kama ni kwa masaaa 48 kwanini hawakumkimbizaa Ujerumani mara moja kwenye ile hospitali iliyomtibu mara ya kwanza ????? ni masaa nane tu kwa ndege ya rais
Tunaomboleza lakinj ni wakati wa Idara ya Usalama kuweka madaktari competent wa Rais ; hawa dizaini ya dr mwakyusa ; dr Ngwale ; au machemba waachane nayo
Ndani ya Emilio Mzena kuwe na timu ya madaktari bingwa nchini wa kushauri madaktari wa viongozi ,‘najua viongozi wetu wanapenda Madaktari Rafiki zao ambao sio competent !!!!! where is our medical intelligence?!?!
Najua madaktari mfano wa Mama Samia walio mzena au Lugalo sio the best !!!!! Hili la Magufuli Rais kulazimisha daktari kwakua tu ni Rafiki wakati wengine wana degreee za east europe na Russia tuangalie !!?
we have the best doctors wawe panel ambayo daktari wa Rais atatakiwa kuomba ushauri pale ambapo Rais ana serious ailment !!!!
Maisha ya Magufuli yangeweza kuokolewa hata kama alikua hataki kwenda Ujerumani kulikua na namna ya kumfikisha huko as long as Baraza la Usalama limekua briefed
Mimi hapa ndani nili muendorse Magufuli kuwa Rais toka 2013 ; pamoja na kutofautiana naye kwenye human rights issues sera zake zote zingine nazikubali ....... alikua na washauri wabaya ambao walishindwa kuboresha image yake kwenye mambo ya haki za binadamu
; ukitoa hilo yaliyobaki ni 100%
ndio majaliwa alivaa kanzu ya sh ngapi siku ile yupo njombe wakati anatuaminisha rais ni mzima anachapa kazi?Kanzu ya laki mbili......!???? [emoji2960]
Duh..hii ni ya kweli?alijuaje kuwa anakufa?
Inawezekana. Kama heading ya thread Ni kweli. Pengine ndio yalikuwa maneno yake ya mwisho kwa Pengo na ParokoDuh..hii ni ya kweli?alijuaje kuwa anakufa?
Umesikia Mheshimiwa Rais wa sasa wakati anatangaza kutokea kwa kifo?
Alisema alianza kuugua lini alisema akapelekwa JKI Muhimbili lini?
Kisha alihamishiwa Mzena hospitali lini?
Je ulisikia familia ilivyoeleza hadi kupewa Mpako Mtakatifu?
Mchakato huo umeulewa?
Kitubio katika Kanisa Katoliki kiko katika sehemu Nne:Kuna makosa aina mbili katika imani;
1) Kumkosea Mungu.
2) Kumkosea Mwanaadamu.
Kuna baadhi ya makosa mungu hasamehi mpaka ukamuombe msamaha uliemkosea kwanza, mfano Kulala na Mke/Mume Wa Mtu. Hapa kwa mungu kosa ni kuzini, kwa mwanaadamu umemchafulia haki yake inayotambulika mpaka mbinguni.
Msamaha kwa mungu unakubalika kwa kuapa kutokurudia tena kosa, sambamba na kurekebisha ulipo kosea (Mfano umefunga mtu gerezani kwa chuki, unapaswa kumwachia huru kwanza na kumpa fidia stahiki kwa kifungo ulichompa, halafu ndio unaomba msamaha kwa mungu na kuapa kutokurudia tena kufunga mtu asie na hatia - Ukiua mtu asie na hatia, unapaswa kukiri kosa na kuwaomba msamaha wana familia kwanza then unarudi kwa mungu kutubia na kuapa kutokurudia tena kuua).
Then walio dhulumiwa na kufungwa magerezani kwa chuki basi aliwaachia kabla ya kutubia dhambi zake?
Alikwenda kuwaomba msamaha familia za waliopoteza maisha yao kwa kivuli cha watu wasiojulikana?
Alirudisha haki za watu waliopewa kesi za uhujumu uchumi ili walipishwe fidia?
Alirudisha haki za watu waliobambikozwa KODI na MAKOSA iwe ya trafik barabarani n.k?
Zip?Ilikua inadhaniwa hivyo na kanisa katoliki uganda. ila katika mchakato wake kulionekana na dosari hivyo mpango ulifeli hivyo kanisa la roma halikuendelea na huo mchakato sababu ya dosari katika maisha ya Nyerere alietarajiwa kutangazwa mtakatifu na kanisa, dosari zenyewe zipo nyingi
Kwani kuomba msamaha Ni Siri mkuu? Nitajuaje Kama umenitaka msamaha nawe utajuaje Kama Nimekusamehe mkuu?Atakua amefanya hivyo. Kitubio ni siri ya muombaji na yule anayemtubisha.
Mbuzi hanenepi siku ya mnada!Msemaji wa familia ya hayati Magufuli amesema mpendwa wao kabla ya kufa alibahatika kuongoza sala ya maombi ya kumuombea pamoja na nyimbo.
Pia alipata sakramenti ya toba na mafuta matakatifu.
Kadhalika Mufti wa Tanzania sheikh Zubeir alimuombea.
Katika maisha ya binadamu hii ni neema kubwa ambayo watu wengi huikosa wawapo kufani.
Binafsi sitaomboleza kwa kuvaa nguo nyeusi bali nitavaa nguo nyeupe kwa ajili ya shukrani kwa Mungu kwa maisha ya John hapa duniani.
Maendeleo hayana vyama!
===
Msemaji wa familia ya Hayati Magufuli Ngusa Samike amesema "kabla ya kifo chake Rais Magufuli aliongoza sala na nyimbo akiwa na Madaktari na Wauguzi wake."
Alisema kabla ya kifo pia, "Mwadhama Polycap Kardinali Pengo na Paroko wa Parokia ya St. Peter Padre Alister Makubi walimpatia Rais Magufuli huduma ya kiroho ya mpako mtakatifu,"
"Pia Shekhe Mkuu wa Tanzania Mufti Aboubakar Zubeir naye alimfanyia maombi kabla ya kifo chake."
Je huu ndo wakati majaliwa alikuwa anafoka kwamba rais ni mzima.... Unataka aonekane Kariakoo? Au yule RC wa kule nyanda za juu za kusini aliyesema rais ni mzima ...amenipigia simu.....ameniletea pesa! Nchii hii INA vituko!Ndio maana ya toba, imetajwa hapo
Alimwomba Tundu Lissu msamaha?Punguza uzushi bwashee!