Familia: Hayati Magufuli aliongoza sala na nyimbo kabla ya kifo chake, alipakwa mafuta matakatifu. Pia aliombewa na Mufti

Familia: Hayati Magufuli aliongoza sala na nyimbo kabla ya kifo chake, alipakwa mafuta matakatifu. Pia aliombewa na Mufti

Ana kufa ghafla!, ndio sababu imetoka iyo comment hapo

Umesikia Mheshimiwa Rais wa sasa wakati anatangaza kutokea kwa kifo?
Alisema alianza kuugua lini alisema akapelekwa JKI Muhimbili lini?
Kisha alihamishiwa Mzena hospitali lini?
Je ulisikia familia ilivyoeleza hadi kupewa Mpako Mtakatifu?
Mchakato huo umeulewa?
 
Lakini jana wakati anahojiwa na UTV Shekh Mkuu Zuberi alipoulizwa kwamba alipomtembelea wàkati anaumwa Mh. Hayati Rais Magufuli, Shekh alijibu kwamba kwa siku za karibuni toka kuugua kwake sijawahi kumtembelea..."

Hili la wanafamilia kwamba aliombewa na Shekh Zuberi wamelitoa wapi?
Na tangu lini Msemaji wa afya ya Rais akawa Mwanafamilia?
Nimeona bandiko linasambazwa likimtaja Mheshimiwa Pengo, mara Mheshimiwa Kardinali Pengo.
Katika Itifaki ya Kanisa Katoliki, hakuna Mheshimiwa Pengo, bali aliyepo ni Muadhama Polycarp Kardinali Pengo.
TISS wanahangaika sana kuficha ukweli.
Wameamua kuwasingizia Viongozi waandamizi wa Dini.
Kweli ikidhihiri, uongo unajitenga.
Rais Magufuli ameliwa kichwa na Corona.
Taifa liwalinde Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan na mpendwa wetu Mama Janet Magufuli.
 
Fix takatifu lini hao mamuft na maparoko walimuongoza Sara ya toba wakati tuliambiwa marehemu ni mzima anachapa kazi kwelikweli na waziri mkuu akiwa njombe kwenye msikiti na kavaa kanzu ya laki mbili siku moja kabla ya marehemu kukata roho?

Anyway mambo mengi muda hautoshi!
Kanzu ya laki mbili......!???? [emoji2960]
 
20210321_214544.jpg
 
Dr John Pombe Magufuli hakua wa kufa leo wala kesho ; tatizo kubwa ni ile hali aliyoiweka na washauri wake kushindwa kuhakikisha Daktari wa Rais anakuwa na msimamo ; kama Ambavyo tulimlaumu Dr Mwakyusa kwa kifo cha mwalimu kwa uzembe na kumuacha Mwalimu Butiama akiwa amezidiwa huku yeye yuko dar na chaguo lake la kwenda general hospital ya at thomas kutibu leukemia badala ya india au China , ( Mwandosya alipona Leukemia india )
Dr Machemba hata kama ni home boy kazembeaa pamoja na washauri wengine akiwemo dr Ngwale hawa pamoja na walinzi wa Rais wamezembea sana

Rais Magufuli alitakiwa kwenda kubadili Pacemarker Ujerumani

walichukua hatua gani baada ya contact wa Magufuli Kijazi kfariki?

kama Magufuli aliugua akapata nafuuu hata kama ni kwa masaaa 48 kwanini hawakumkimbizaa Ujerumani mara moja kwenye ile hospitali iliyomtibu mara ya kwanza ????? ni masaa nane tu kwa ndege ya rais

Tunaomboleza lakinj ni wakati wa Idara ya Usalama kuweka madaktari competent wa Rais ; hawa dizaini ya dr mwakyusa ; dr Ngwale ; au machemba waachane nayo

Ndani ya Emilio Mzena kuwe na timu ya madaktari bingwa nchini wa kushauri madaktari wa viongozi ,‘najua viongozi wetu wanapenda Madaktari Rafiki zao ambao sio competent !!!!! where is our medical intelligence?!?!

Najua madaktari mfano wa Mama Samia walio mzena au Lugalo sio the best !!!!! Hili la Magufuli Rais kulazimisha daktari kwakua tu ni Rafiki wakati wengine wana degreee za east europe na Russia tuangalie !!?

we have the best doctors wawe panel ambayo daktari wa Rais atatakiwa kuomba ushauri pale ambapo Rais ana serious ailment !!!!

Maisha ya Magufuli yangeweza kuokolewa hata kama alikua hataki kwenda Ujerumani kulikua na namna ya kumfikisha huko as long as Baraza la Usalama limekua briefed

Mimi hapa ndani nili muendorse Magufuli kuwa Rais toka 2013 ; pamoja na kutofautiana naye kwenye human rights issues sera zake zote zingine nazikubali ....... alikua na washauri wabaya ambao walishindwa kuboresha image yake kwenye mambo ya haki za binadamu
; ukitoa hilo yaliyobaki ni 100%
 
..mnawalaumu madaktari bure tu, magufuli alikuwa anaumwa tangu wakati wa kampeni.

..tangu wakati wa msiba wa mkapa alikuwa anaumwa ndio maana alichelewa kwenye kumzika mkapa.

..madaktari na usalama wamejitahidi ikiwemo kuwa na gari la wagonjwa standby ktk ziara ya magufuli za mikoani.

..magufuli asingeweza kwenda ujerumani kutibiwa kwasababu alishawatangaza wazungu kuwa ni maadui zake na watanzania.
 
Ameshatubu huyo kwa imani yetu. Musilazimishe afe na dhambi. A man of action has gone. Rest in eternal peace my president.
 
nduli magufuli bora limekufa tuishi kwa amani.alivunja sana haki za binadamu huyu
 
Umesikia Mheshimiwa Rais wa sasa wakati anatangaza kutokea kwa kifo?
Alisema alianza kuugua lini alisema akapelekwa JKI Muhimbili lini?
Kisha alihamishiwa Mzena hospitali lini?
Je ulisikia familia ilivyoeleza hadi kupewa Mpako Mtakatifu?
Mchakato huo umeulewa?

Zakuambiwa changanya na zako. Inawezekana huo mtiririko ila akiwa hoi bin taabani yani ni hamisha hamisha isiyo na nafuu. Na si unajua kuhamishwa maana yake ni hali tete?

Basi akili kumkichwa mkuu
 
Kuna makosa aina mbili katika imani;

1) Kumkosea Mungu.

2) Kumkosea Mwanaadamu.

Kuna baadhi ya makosa mungu hasamehi mpaka ukamuombe msamaha uliemkosea kwanza, mfano Kulala na Mke/Mume Wa Mtu. Hapa kwa mungu kosa ni kuzini, kwa mwanaadamu umemchafulia haki yake inayotambulika mpaka mbinguni.

Msamaha kwa mungu unakubalika kwa kuapa kutokurudia tena kosa, sambamba na kurekebisha ulipo kosea (Mfano umefunga mtu gerezani kwa chuki, unapaswa kumwachia huru kwanza na kumpa fidia stahiki kwa kifungo ulichompa, halafu ndio unaomba msamaha kwa mungu na kuapa kutokurudia tena kufunga mtu asie na hatia - Ukiua mtu asie na hatia, unapaswa kukiri kosa na kuwaomba msamaha wana familia kwanza then unarudi kwa mungu kutubia na kuapa kutokurudia tena kuua).

Then walio dhulumiwa na kufungwa magerezani kwa chuki basi aliwaachia kabla ya kutubia dhambi zake?

Alikwenda kuwaomba msamaha familia za waliopoteza maisha yao kwa kivuli cha watu wasiojulikana?

Alirudisha haki za watu waliopewa kesi za uhujumu uchumi ili walipishwe fidia?

Alirudisha haki za watu waliobambikozwa KODI na MAKOSA iwe ya trafik barabarani n.k?
Kitubio katika Kanisa Katoliki kiko katika sehemu Nne:
1. Kukiri moyoni kwamba umetenda dhambi au umefanya makosa,
2. Kumuahidi Mungu kwamba hutarudia tena kutenda dhambi,
3. Kupatana na wale uliowakosea,
4. Kwenda kuungama makosa hayo na kupewa malipizi stahiki.

Ni mchakato mrefu kidogo!
 
Ilikua inadhaniwa hivyo na kanisa katoliki uganda. ila katika mchakato wake kulionekana na dosari hivyo mpango ulifeli hivyo kanisa la roma halikuendelea na huo mchakato sababu ya dosari katika maisha ya Nyerere alietarajiwa kutangazwa mtakatifu na kanisa, dosari zenyewe zipo nyingi
Zip?
 
Atakua amefanya hivyo. Kitubio ni siri ya muombaji na yule anayemtubisha.
Kwani kuomba msamaha Ni Siri mkuu? Nitajuaje Kama umenitaka msamaha nawe utajuaje Kama Nimekusamehe mkuu?
 
Msemaji wa familia ya hayati Magufuli amesema mpendwa wao kabla ya kufa alibahatika kuongoza sala ya maombi ya kumuombea pamoja na nyimbo.

Pia alipata sakramenti ya toba na mafuta matakatifu.

Kadhalika Mufti wa Tanzania sheikh Zubeir alimuombea.

Katika maisha ya binadamu hii ni neema kubwa ambayo watu wengi huikosa wawapo kufani.

Binafsi sitaomboleza kwa kuvaa nguo nyeusi bali nitavaa nguo nyeupe kwa ajili ya shukrani kwa Mungu kwa maisha ya John hapa duniani.

Maendeleo hayana vyama!
===

Msemaji wa familia ya Hayati Magufuli Ngusa Samike amesema "kabla ya kifo chake Rais Magufuli aliongoza sala na nyimbo akiwa na Madaktari na Wauguzi wake."

Alisema kabla ya kifo pia, "Mwadhama Polycap Kardinali Pengo na Paroko wa Parokia ya St. Peter Padre Alister Makubi walimpatia Rais Magufuli huduma ya kiroho ya mpako mtakatifu,"

"Pia Shekhe Mkuu wa Tanzania Mufti Aboubakar Zubeir naye alimfanyia maombi kabla ya kifo chake."
Mbuzi hanenepi siku ya mnada!
 
Ndio maana ya toba, imetajwa hapo
Je huu ndo wakati majaliwa alikuwa anafoka kwamba rais ni mzima.... Unataka aonekane Kariakoo? Au yule RC wa kule nyanda za juu za kusini aliyesema rais ni mzima ...amenipigia simu.....ameniletea pesa! Nchii hii INA vituko!
 
Back
Top Bottom