Hiyo sala aliongoza akiwa kwenye ventilator? 🙄Msemaji wa familia ya hayati Magufuli amesema mpendwa wao kabla ya kufa alibahatika kuongoza sala ya maombi ya kumuombea pamoja na nyimbo.
Pia alipata sakramenti ya toba na mafuta matakatifu.
Kadhalika Mufti wa Tanzania sheikh Zubeir alimuombea.
Katika maisha ya binadamu hii ni neema kubwa ambayo watu wengi huikosa wawapo kufani.
Binafsi sitaomboleza kwa kuvaa nguo nyeusi bali nitavaa nguo nyeupe kwa ajili ya shukrani kwa Mungu kwa maisha ya John hapa duniani.
Maendeleo hayana vyama!
===
Msemaji wa familia ya Hayati Magufuli Ngusa Samike amesema "kabla ya kifo chake Rais Magufuli aliongoza sala na nyimbo akiwa na Madaktari na Wauguzi wake."
Alisema kabla ya kifo pia, "Mwadhama Polycap Kardinali Pengo na Paroko wa Parokia ya St. Peter Padre Alister Makubi walimpatia Rais Magufuli huduma ya kiroho ya mpako mtakatifu,"
"Pia Shekhe Mkuu wa Tanzania Mufti Aboubakar Zubeir naye alimfanyia maombi kabla ya kifo chake."
Kwa akili kama hizi watu wanasema ulikuwa mtumishi wa taasisi kubwa ya Usalama wa Taifa la Tanzania kweli???Hiyo sala aliongoza akiwa kwenye ventilator? 🙄
Dah!!Hiyo sala aliongoza akiwa kwenye ventilator? [emoji849]
AMENAmefanya toba lakini bado kama kuna wanaoendelea kulia kwasababu yake toba haitakuwa na maana. Ndugu za akina Ben Saanane, waliofungwa bila hatia n.k
Hawezi kuwa redeemed unless wote walioteseka kwa mkono wake wamepata haki.
Kuna dhambi za aina mbili kwa mujibu wa amri kumi za Mungu,kumkosea Mwenyezi Mungu na kumkosea mwanadamu.Aliomba toba ipi hapo.Kiimani, Marehemu Magufuli, kama alipata nafasi ya kuomba masamaha kwa dhati ya dhamira ya moyo wake, wakati wa mwisho wa safari yake hapa Duniani, atakuwa alipata msamaha kamili wa dhambi zake. Ndivyo maandiko yanavyotuambia.
Neno la Mungu linasema,
Njooni kwangu ninyi nyote msumbukao na kuelemewa na mizigo ya dhambi, nami nitawapumzisha.
Andiko jingine lasema, Ijapokuwa dhambi zako ni nyekundu, zitakuwa nyeupe kama theluji.
Kama tu wana wa Mungu, tunayetaka atusamehe dhambi zetu, nasi tunastahili kusamehe. Hivyo, yatupasa kumsamehe marehemu tunapoona alitukosea.
"Utusamehe makosa yetu kama nasi tunavyowasamehe wale waliotukosea"
Hakuna ajuaye. Itabakia kuwa ni siri kati yake na MuumbaKuna dhambi za aina mbili kwa mujibu wa amri kumi za Mungu,kumkosea Mwenyezi Mungu na kumkosea mwanadamu.Aliomba toba ipi hapo.
Kwa wanadamu aliowaumiza je aliomba msamaha?
Utaratibu wa toba kanisa katoliki:Ndio maana ya toba, imetajwa hapo
Mtu yeyote anaruhusiwa kumwombea binadamu mwenzake jema lolote. Wengine sio waumini wa MUNGU ila ile roho ya ubinadamu inajikuta kufanya hivyo. Saa ingine hata wanyama ikitokea shida wanataka wawe salama wote.Inaonekana kukosekana kwa msimamo yaan mkristo ambaye anamwamwini KRISTO hawezi kuombewa na sheik ( akifanya ivo atakuwa haamin anachokiamin a.k.a imani kachumbari
Sio kweli, toba ni majuto dhidi ya dhambi ulizomkosea Mungu au watu.Mtu yeyote anaruhusiwa kumwombea binadamu mwenzake jema lolote. Wengine sio waumini wa MUNGU ila ile roho ya ubinadamu inajikuta kufanya hivyo. Saa ingine hata wanyama ikitokea shida wanataka wawe salama wote.
Nadhani wewe sio mkatoliki.Sasa hivi Anawaongoza Malaika Huko
Akimuomba mola wake inatosha na ndio maana ya mpako wa mafuta matakatifu kwetu sisi wakatoliki ni maana kubwa sana.
Kwa nini asiombewe? hata Osama bin Ladin alishindwa kutoombewa na Wakristo. Unamzuiaje mtu anayekuombea? Akikuombea, unaombewa. Sivyo?Inaonekana kukosekana kwa msimamo yaan mkristo ambaye anamwamwini KRISTO hawezi kuombewa na sheik ( akifanya ivo atakuwa haamin anachokiamin a.k.a imani kachumbari
Halafu akaja kuwa Mwenyekiti wa mazishi.Wakati hayo yote yanafanyika, Waziri Mkuu anatudanganya tu! na kutushangaa tunao muulizia Marehemu!
Tena akaenda mbali zaidi kwa kutuuliza tulitaka tumuone wapi eti! Magomeni!! Kariakoo sokoni! 🤔
Mzee Mungu hawazi na hafanyi kama ww bnadamu unvyofkiri na kuwaza,Maguful unasema alkuw mbaya,sawa,je aliupita ubaya wa paulo alyewaua na kuwatesa vibaya wakrsto kila alpokutana nao?na leo haitwi paulo tu anaitwa Mtakatifu Paulo,Mungu ana huruma sku zote,Mtakatfu Paulo sasa hv kaketi kuume kw Mungu baba though aliumiza watu wa Mungu na kuwaua!chamsingi ww unayejiona malaika jiombee uweze kuwa na mwsho mwema na sio kuzungumzia watu ambao hujui wapo wapi sasa hivi!SHAME ON YOU!!!!!MUNGU HAWAZI NA HAFANYI NA HATAKUJA KUFANYA NA KUWAZA KAMA MWANADAMU ANAVYOWAZA ABADANI NA KIKUBWA MUNGU HAPANGIWI.Nimesoma comments zote. Jamaa alikuwa mbaya na kadri ubaya na dhulma alizofanya zinazidi kudhihirika ndiyo Moto unazidi kuchochewa. Na aungue maana katesa wengi.
Juzi jumanne tarehe 23 November 2021 nilimsikia mtangazaji Sudi Mnete wa DW mchana kwenye kipindi cha kinagaubaga, akimuhoji mke wa Azory Gwanda. Aisee inatia huruma sana. Yule mtu alikuwa mwovu sana
Nguvu, mamlaka na jeuri za hapa duniani si kitu mbele ya Mungu. Hata Padre au Askofu hawezi kutamba akifa atakuwa kiongozi wa malaika huko mbinguni. Ni kufuru kubwa mno.Sasa hivi Anawaongoza Malaika Huko
Mke wa Azory alihojiwa BBC aisee hadi huruma anasema kinachomtesa zaidi ni mtoto wake Mdogo amsumbuae KILA siku "mama baba yupo wapi ulisema atarudi mbona arudi" kumbuka wakati Azory anatekwa shambani mkewe wake alikuwa ni mjamzito ndo hicho kitoto kishakuwa kikubwa.Nimesoma comments zote. Jamaa alikuwa mbaya na kadri ubaya na dhulma alizofanya zinazidi kudhihirika ndiyo Moto unazidi kuchochewa. Na aungue maana katesa wengi.
Juzi jumanne tarehe 23 November 2021 nilimsikia mtangazaji Sudi Mnete wa DW mchana kwenye kipindi cha kinagaubaga, akimuhoji mke wa Azory Gwanda. Aisee inatia huruma sana. Yule mtu alikuwa mwovu sana
Paulo alitubu kwa Mola wake na akamwahidi Mungu atamtumikia kwa kupambana na shetani kama njia ya malipizi jinsi alivyomtenda Mungu na Mtume Paulo ndie aliyeusambaza Ukristo ulimwengu na kuwafanya watu wengi wawe wafuasi wa Kristo na kumjua Mungu hata sasa.Mzee Mungu hawazi na hafanyi kama ww bnadamu unvyofkiri na kuwaza,Maguful unasema alkuw mbaya,sawa,je aliupita ubaya wa paulo alyewaua na kuwatesa vibaya wakrsto kila alpokutana nao?na leo haitwi paulo tu anaitwa Mtakatifu Paulo,Mungu ana huruma sku zote,Mtakatfu Paulo sasa hv kaketi kuume kw Mungu baba though aliumiza watu wa Mungu na kuwaua!chamsingi ww unayejiona malaika jiombee uweze kuwa na mwsho mwema na sio kuzungumzia watu ambao hujui wapo wapi sasa hivi!SHAME ON YOU!!!!!MUNGU HAWAZI NA HAFANYI NA HATAKUJA KUFANYA NA KUWAZA KAMA MWANADAMU ANAVYOWAZA ABADANI NA KIKUBWA MUNGU HAPANGIWI.