Familia: Hayati Magufuli aliongoza sala na nyimbo kabla ya kifo chake, alipakwa mafuta matakatifu. Pia aliombewa na Mufti

Tatzo Mungu hawazi na hafanyi kama sisi wanadamu tunvyotaka halafu unachosahau Mungu ana huruma na upendo mkubwa sana ukikiri makosa yako anakusamehe,sasa sjui Mungu yupi unayemhubr ww hapa,Mungu nnayemjua mm hana visasi na chuki bali ana upendo na huruma,wabongo mnafeli wapi!!ww vipi ushapata nafc peponi nn??acha hizo mambo za kumsemea Mungu ndgu,Mungu hapiganiwi na mwanadamu,anafanya invyompendeza yeye.
 
Nguvu, mamlaka na jeuri za hapa duniani si kitu mbele ya Mungu. Hata Padre au Askofu hawezi kutamba akifa atakuwa kiongozi wa malaika huko mbinguni. Ni kufuru kubwa mno.
Na wataalamu wa mambo ya kiroho wanalijua hili thus walionya tubu.
Ukimgeuza binadamu Sanamu Mungu achelewi kumchukua maana Mungu ni Mwenye wivu na hakuna wa kuabudia isipokuwa Mola pekee.
Ukiweka tumaini lako kwa mke, mtoto,mpenzi, Kazi au chochote mfano mtoto,mke,me,Kazi ndie kila kitu ndio tumaini langu hii ni ibada ya Sanamu Mungu atamchukua huyo mtu au hio Kazi.
Ni kufuru mbaya sana kuweka tumaini lako kwa vitu,au mtu,check leo Musiba, Sabaya, bashite wamebaki zaidi ya mjane,sababu waliweka tumaini lao kwa mwanadamu Mungu akamchukua ile ni ibada ya Sanamu,usijifanyie ibada ya sana.Alichofanya Kange,Musiba,yule RC aliyesema Mungu amshukuru ... ,Au huyu ni zaidi ya Yesu vyote vile ni uchuro ukawii Mungu lazima alibomoe Sanamu,alionya Prophet Mtalemwa na viongozi wengine wa dini,kabla ya matokeo maana wanajua.
 
Maandiko ndivyo usema hivyo, huwezi kwenda peponi kwa kuvunja amri kumi za Mungu.Mimi nawapatiliza uovu Wana wa wazazi wao hata kizazi cha nne.
 
Mkuu hata elisha eliya nae aliuliwa??
 
Wewe ndio Mungu au?
 

Braza kaka shikamoo..

umeongea ukweli kwa uchungu na umeuongea kwa uzalendo hali ya juu sana..

ubarikiwe popote ulipo
 
hicho kitubio tunaomba kisipokelewe maana kinakiuka haki za walitendewa unyama kipindi cha uongozi wake.
 
Mungu usema kupitia vitabu.Bila hivyo KILA mtu angeumiza watu akikaribia kufa atubu
Mungu hafanyi kazi kutegemea mawazo yako.
Mungu amesema hafurahii kifo cha mwenye dhambi bali kutubu kwa mwenye dhambi.
Unless kama una Mungu wako mwingine unaye mfanyia reference.
 
Mungu hafanyi kazi kutegemea mawazo yako.
Mungu amesema hafurahii kifo cha mwenye dhambi bali kutubu kwa mwenye dhambi.
Unless kama una Mungu wako mwingine unaye mfanyia reference.
Basi ,asingesema "apandacho mtu ndicho atakachovuna"
 
Braza kaka shikamoo..

umeongea ukweli kwa uchungu na umeuongea kwa uzalendo hali ya juu sana..

ubarikiwe popote ulipo
Kwa hiyo mtu akionyesha mapenzi kwa Magufuli tu inatosha kuwa mzalendo?
 
Unafiki mtupu kwanini wao wenyewe wasiseme hayo hadi tetesi mbalimbali zinavuma kuhusu mashaka ya kifo chake
 
Wenye akili tunajua huu mchezo ni kujaribu kuharalisha kifo chake kuwa si mkono wa mtu ,lakini hoja zote zinatia shaka mimi na amini magufuli angejua anakufa angetujulisha watz ili pasitokee tafaruku nchini ,pia zipo wapi video za hayo mambo wanayosema
 
Vipi aliyowatendea WAPINZANI?
 
Haimsaidii... atalipwa alichotenda hapa. Kama kina Kabudi walikuwa wanamwita mheshimiwa Mungu na alikuwa amenyamaza kimya akichekelea...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…