Familia: Hayati Magufuli aliongoza sala na nyimbo kabla ya kifo chake, alipakwa mafuta matakatifu. Pia aliombewa na Mufti

Kumjua Mungu ni Jambo moja na kumcha ni Jambo la pili

Kumtaja Mungu ni Jambo moja na kumcha ni Jambo la pili.

Si wote waniitao Bwana bwana watakaoingia
mbinguni

Nakuunga mkono unapomshukuru Mungu kwa maisha ya John hapa duniani kwakuwa huna uhakika kuwa Mungu amempokea.
 
23 April 2014

ASKOFU KAKOBE: Nyerere siyo Mungu asiyekuwa na makosa

 
Ulichokiandika kina uhusiano gani na hiyo sentence yako ya mwisho ya maendeleo hayana vyama???????????
 
Hayo ni masharti yako kwa mujibu ya imani yako. Lakini kwa imani ya kanisa Katoliki la mitume la kimisionari sio kama ulivyoeleza. Sisi wakatoliki mpako mtakatifu ( anaopewa muumini kabla hajafa) unatosha kumuondolea dhambi zote, na kama kuna malipizi basi anayafanyia tohorani ambako nguvu ya sala za kanisa la duniani humsaidia kufupisha muda wa kukaa huko ndio maana wakatoliki tunasisitiza sana kumuombea marehemu.
 
Mzee wetu alipokoseaga ni pale alipoanza kuminya demokrasia na kutekana na kuuana.
Kosa jingine la mzee ni kukataa kwamba ugonjwa haupo wakati upo. Sijui alikuwa anawaza nini mzee wetu yule.
Tumsamehe tuu mzee wetu JPM.
 
Wewe jamaa mzushi sana
 
Mafundisho yako yanapotosha.
Yesu Kristu alikuja Duniani kutangaza Ufalme wa Mungu na kuwaokoa binadamu kwenye utumwa wa dhambi kwa kufa msalabani na kufufuka siku ya tatu kama ilivyoandikwa.

Hivyo msamaha wa Mungu hauna masharti zaidi ya kutubu na kumkiri Mungu.
Wala hamna suala la kusema kaombe kwanza msamaha kwa ulimchukulia mke ndio uombe kwa Mungu. Je kama uliyemkosea kafa, ina maana wewe haupati tena msamaha?? Hakika si kweli labda kwa imani yako wewe.

Biblia inatuambia ni dhambi moja tu isiyosameheka nayo ni (Blasphemy against Holy Spirit), yaani kufuru kwa Roho wa Mungu. Hii sio rahisi kuelewa, lakini itoshe tu kusema haiwezekani ukawa haukubaliani na ngazi iliyopo lakini unataka kupanda juu( kupanda juu ninamaana kusamehewa).

 
Mungu aliupenda uli
Mungu anaipenda TZ. Amemtuma mwanae afe ili wengi waokoke!
 
Acha hizo we mzee mafuta kutoka wapi kwa mungu wa vatican ?? au yaaani heee....... haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…