nguruka wa kig0ma
JF-Expert Member
- Jan 16, 2020
- 2,946
- 2,932
Kumjua Mungu ni Jambo moja na kumcha ni Jambo la piliMsemaji wa familia ya hayati Magufuli amesema mpendwa wao kabla ya kufa alibahatika kuongoza sala ya maombi ya kumuombea pamoja na nyimbo.
Pia alipata sakramenti ya toba na mafuta matakatifu.
Kadhalika Mufti wa Tanzania sheikh Zubeir alimuombea.
Katika maisha ya binadamu hii ni neema kubwa ambayo watu wengi huikosa wawapo kufani.
Binafsi sitaomboleza kwa kuvaa nguo nyeusi bali nitavaa nguo nyeupe kwa ajili ya shukrani kwa Mungu kwa maisha ya John hapa duniani.
Maendeleo hayana vyama!
Kumtaja Mungu ni Jambo moja na kumcha ni Jambo la pili.
Si wote waniitao Bwana bwana watakaoingia
mbinguni
Nakuunga mkono unapomshukuru Mungu kwa maisha ya John hapa duniani kwakuwa huna uhakika kuwa Mungu amempokea.