Nyaru-sare
JF-Expert Member
- Aug 2, 2019
- 5,261
- 3,679
Ben saa nane atarudi sasa!! walio potezwa watajulikana tunachotaka sisi kujua tu hata km alikufa tuomboleze kuwa ndugu yetu katutoka.kwa style hii tuweke kumbukumbu km shujaa!!Amefanya toba lakini bado kama kuna wanaoendelea kulia kwasababu yake toba haitakuwa na maana. Ndugu za akina Ben Saanane, waliofungwa bila hatia n.k
Hawezi kuwa redeemed unless wote walioteseka kwa mkono wake wamepata haki.
akimkuta ben saa nane huko ndo Rais itakuwajeR.I.P
Ben Saanane
Azory Gwanda
Lwajabe
Aqwelina
Na wengineo.
Lies! Lies! Lies by liars!!!Hii sasa ni blah blah! Huyo mtu, siku zote alizokuwa anaumwa, alifichwa! Hizo SAKRAMENTI alipewa na wauguzi wake?
Waendelee kutuongopea hapa hapa Duniani tu. Huko alikoenda hakuna KUONGOPEANA!
Sasa yupo mbinguni na malaika wenzake!
Tuache hili mkuu. Familia imesema aliongoza sala na nyimbo kabla ya kufariki. Tuachie hapo hapo.
Mafuta yanayozungumziwa hapa sio yale mafuta unayoweza kuyapata kwenye huduma kama za kina Gwajima na mwamposa.Mafuta? Haya ya manabii fake?
Ilikua inadhaniwa hivyo na kanisa katoliki uganda. ila katika mchakato wake kulionekana na dosari hivyo mpango ulifeli hivyo kanisa la roma halikuendelea na huo mchakato sababu ya dosari katika maisha ya Nyerere alietarajiwa kutangazwa mtakatifu na kanisa, dosari zenyewe zipo nyingiBasi mtangazeni kuwa ni Mtakatifu kama Nyerere. Maana huwa mnasema ni Nyerere wa pili
mbingu ya chato?Sasa yupo mbinguni na malaika wenzake!
ingekuwa vyema kama ungeandika kifungu cha maneno matakatifu kinachosapoti hoja yakoAmefanya toba lakini bado kama kuna wanaoendelea kulia kwasababu yake toba haitakuwa na maana.
Kumkosea Mungu yupi?Kuna makosa aina mbili katika imani;
1) Kumkosea Mungu.
2) Kumkosea Mwanaadamu.
Kuna baadhi ya makosa mungu hasamehi mpaka ukamuombe msamaha uliemkosea kwanza, mfano Kulala na Mke/Mume Wa Mtu. Hapa kwa mungu kosa ni kuzini, kwa mwanaadamu umemchafulia haki yake inayotambulika mpaka mbinguni.
Msamaha kwa mungu unakubalika kwa kuapa kutokurudia tena kosa, sambamba na kurekebisha ulipo kosea (Mfano umefunga mtu gerezani kwa chuki, unapaswa kumwachia huru kwanza na kumpa fidia stahiki kwa kifungo ulichompa, halafu ndio unaomba msamaha kwa mungu na kuapa kutokurudia tena kufunga mtu asie na hatia - Ukiua mtu asie na hatia, unapaswa kukiri kosa na kuwaomba msamaha wana familia kwanza then unarudi kwa mungu kutubia na kuapa kutokurudia tena kuua).
Then walio dhulumiwa na kufungwa magerezani kwa chuki basi aliwaachia kabla ya kutubia dhambi zake?
Alikwenda kuwaomba msamaha familia za waliopoteza maisha yako kwa kivuli cha watu wasiojulikana?
Alirudisha haki za watu waliopewa kesi za uhujumu uchumi ili walipishwe fidia?
Alirudisha haki za watu waliobambikozwa KODI na MAKOSA iwe ya trafik barabarani n.k?
Hakuna vifungu vya Biblia vinavyo support hiyo hoja.Hii hoja iko kwa waislam sisi .. ndio nimeshangaa kama wa kristo wana hiyo pia!!
Ndugu yangu usipotoshe watu. Hakuna kifungu chochote kwenye Injili kinachosema au kusisitiza kuwa ili mtu asamehewe dhambi zake basi ni lazima kwanza akawaombe msamaha wale aliowakosea.35 Mmoja wao, mwana-sheria, akamwuliza, akimjaribu; 36 Mwalimu, katika torati ni amri ipi iliyo kuu? 37 Akamwambia, Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, na kwa roho yako yote, na kwa akili zako zote. 38 Hii ndiyo amri iliyo kuu, tena ni ya kwanza. 39 Na ya pili yafanana nayo, nayo ni hii, Mpende jirani yako kama nafsi yako. 40 Katika amri hizi mbili hutegemea torati yote na manabii.
Mathayo 22:35-40
Hebu angalia vizuri. Umeni-quote lakini sijazungumza chochote kati ya hayo unayoyasema nimepotosha. Mimi nimeweka kifungu cha biblia Mathayo 22:35-40, cha ajabu naona umequote post yangu halafu unazungumza mambo tofauti kabisa. Kwa ufupi sijakusoma kabisaNdugu yangu usipotoshe watu. Hakuna kifungu chochote kwenye Injili kinachosema au kusisitiza kuwa ili mtu asamehewe dhambi zake basi ni lazima kwanza akawaombe msamaha wale aliowakosea.
Ingekuwa hivyo basi hata Mfalme Daudi asingesamehewa dhambi yake ya kulala na Mke wa askari wake kisha kuamuru askari yule atangulizwe mbele vitani na kuachwa afe.
Mfalme Daudi alipotubu hiyo dhambi mbele ya MUNGU, alisamehewa na wala hakuambiwa akawaombe kwanza msamaha ndugu za yule askari aliyeuwawa.
YESU KRISTO alishakufa na kufufuka kwa niaba ya "dhambi" zetu, hivyo msamaha wa dhambi hauna "masharti" yoyote yale zaidi ya kutubu na kubatizwa basi.
Angewaomba na msamaha wote aliowakosea.
Wewe uliponi quote mara ya kwanza na kuniwekea hiyo Mathayo 22:35-40, kifungu hicho kilikuwa kinaenndana na hoja yangu?Hebu angalia vizuri. Umeni-quote lakini sijazungumza chochote kati ya hayo unayoyasema nimepotosha. Mimi nimeweka kifungu cha biblia Mathayo 22:35-40, cha ajabu naona umequote post yangu halafu unazungumza mambo tofauti kabisa. Kwa ufupi sijakusoma kabisa
Vipi kuhusu msafara wa "wataalam" kutoka Chato?Msemaji wa familia ya hayati Magufuli amesema mpendwa wao kabla ya kufa alibahatika kuongoza sala ya maombi ya kumuombea pamoja na nyimbo.
Pia alipata sakramenti ya toba na mafuta matakatifu.
Kadhalika Mufti wa Tanzania sheikh Zubeir alimuombea.
Katika maisha ya binadamu hii ni neema kubwa ambayo watu wengi huikosa wawapo kufani.
Binafsi sitaomboleza kwa kuvaa nguo nyeusi bali nitavaa nguo nyeupe kwa ajili ya shukrani kwa Mungu kwa maisha ya John hapa duniani.
Maendeleo hayana vyama!