Familia: Hayati Magufuli aliongoza sala na nyimbo kabla ya kifo chake, alipakwa mafuta matakatifu. Pia aliombewa na Mufti

Akimuomba mola wake inatosha na ndio maana ya mpako wa mafuta matakatifu kwetu sisi wakatoliki ni maana kubwa sana.
Pole sana kama jambo hilo halina mzizi ktk Neno aka Biblia. Ukatoliki mwisho ni Rome Italy.
 
Kama ni hivyo, hakuna hata mmoja atakayeenda mbinguni na ndivyo ilivyo.
 
kibiblia hakuna kitu kama hicho
ni vema kushika na kufata maandiko na si mapokeo na amri za kanisa

Mk 7:9 SUV. Akawaambia, Vema! Mwaikataa amri ya Mungu mpate kuyashika mapokeo yenu.
 
Hayo unayotaja ni kwa msingi wa andiko gani?
 
Amefanya toba lakini bado kama kuna wanaoendelea kulia kwasababu yake toba haitakuwa na maana. Ndugu za akina Ben Saanane, waliofungwa bila hatia n.k

Hawezi kuwa redeemed unless wote walioteseka kwa mkono wake wamepata haki.

Hayo ni maoni na hisia zako tu, Isaya 1 : 18 inasema "Yeye atatusamehe dhambi zetu, hata kama ni nyekundu kama bendera, zitakuwa nyeupe kama theluji. "
 
Umeshawahi kuiona haki duniani?Kama huwezi Kuwa redeemed mpaka wote uliowahangaisha wapate haki hizo sala za vitubio zisingewekwa,Kila kitu kina maana yake
 
Umeshawahi kuiona haki duniani?Kama huwezi Kuwa redeemed mpaka wote uliowahangaisha wapate haki hizo sala za vitubio zisingewekwa,Kila kitu kina maana yake
Damu za watu hazimwagi hovyo dingii. Hakuna toba utafanya ikakusaidia, maisha hakuna kitu kama hiyo.
 
Wakati hayo yote yanafanyika, Waziri Mkuu anatudanganya tu! na kutushangaa tunao muulizia Marehemu!

Tena akaenda mbali zaidi kwa kutuuliza tulitaka tumuone wapi eti! Magomeni!! Kariakoo sokoni! [emoji848]

PM kawadanganya Nini Sasa. 6 mgonjwa. 7 mzima. Yuko ofisini. 14. mgonjwa. 17 kufariki. Hivi wewe mpako mtakatifu na maombezi unahitaji miezi. Hata dak 2 mtumishi anakuja na kumpatia. Tena nzuri sana Hii anayoomba mwenyewe mana anapata muda wa kuungama dhambi zake kwa Mungu akipitia kwa padre Kama ishara ya wazi. Anaungama dhambi zake sio mnazowaza ninyi. Kila mtu Ana mzigo Wake humu. Yeye na MUngu Wake. Ila ni Bahati sana kwa (watu wenye imani ) mtu kupata nafasi Hii kabla ya kufa. Waovu wa kweli sio wa kutungiwa huwa wanapta tabu sana na kukufuru mpaka kufa.

Shida ya viumbe wachache humu wanajifanya wanamjua JPM kuliko Mungu wake. Niwaambie Hakuwa actor huyo Mzee. Kwake spade sio kijiko kikubwa Ni spade. Pamoja na hayo still yeye anajijua zaidi na ndo mana alikuwa karibu sana na Mungu wake.
 
Damu za watu hazimwagi hovyo dingii. Hakuna toba utafanya ikakusaidia, maisha hakuna kitu kama hiyo.
Hayo ni maoni yako binafsi sitakupinga but kasome habari za sauli baadae Paulo kuna kitu utakielewa,Mungu wetu anajitanabaisha wazi kwenye maandiko,na anaeleza Nguvu ya kujitakasa na kutojichukulia haki hivo anajua tunakosea na kuwaumiza wengine na ndio maana natuomba tujitakase kila wakati
 
Huyo Sauli unamjua? Unauhakika gani kama no kweli au ni hadithi za kusadikika?
 
Hayo ni maoni na hisia zako tu, Isaya 1 : 18 inasema "Yeye atatusamehe dhambi zetu, hata kama ni nyekundu kama bendera, zitakuwa nyeupe kama theluji. "
Tena anaenda mbali Mungu anajitanabaisha na kusema"yeye hakumbuki uovu wetu Kama mashariki na magharibu zisivyoweza kukutana"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…