Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee MOI alikumbuka hilo na kuomba msamaha hadharani!!! Someone should have reminded JIWE to do that even VIRTUALLY!!! Tuliobaki tumuombee MOLA ampunguzie adhabu na amuweke anapostahili.Angewaomba na msamaha wote aliowakosea.
Mkipaka nyie mafuta ni maana kubwa sana,akipaka mwaposa ni ushetani,,,,duhAkimuomba mola wake inatosha na ndio maana ya mpako wa mafuta matakatifu kwetu sisi wakatoliki ni maana kubwa sana.
Nje ya mada Padre kwanini kwenye ibada ya leo pale uwanjani askofu na mapadre walivaa majoho meupe badala ya zambarau kama tunavyowaonaga kwenye ibada za mazishiMimi mwenyewe ni Padre.
Uhalisia ndio huo jombaa.
Kumbe unaweza ukafanya ubaya wa kila aina alafu ukiumwa ukahisi kamba inaenda katika unatubu na kuingia mbinguni..Ndio maana ya toba, imetajwa hapo
Angeanza kabisa kiomba msamaha kwa wanafunzi wa special diploma ya ualimu UDOM aliowafukuza kama mbwa japo walikua na haki zote. Maana wale watoto wengi walikia under 18 na wanatoka mikoa mbalimbali ikabidi walale stand iliumiza sanaMsemaji wa familia ya hayati Magufuli amesema mpendwa wao kabla ya kufa alibahatika kuongoza sala ya maombi ya kumuombea pamoja na nyimbo.
Pia alipata sakramenti ya toba na mafuta matakatifu.
Kadhalika Mufti wa Tanzania sheikh Zubeir alimuombea.
Katika maisha ya binadamu hii ni neema kubwa ambayo watu wengi huikosa wawapo kufani.
Binafsi sitaomboleza kwa kuvaa nguo nyeusi bali nitavaa nguo nyeupe kwa ajili ya shukrani kwa Mungu kwa maisha ya John hapa duniani.
Maendeleo hayana vyama!
Pole kwa wanafunz wa specila diploma ya ualimu Udom waliofukuzwa kama mbwa na kulala standa kisa hawana nauli wengi wao wakiwa under 18R.I.P
Ben Saanane
Azory Gwanda
Lwajabe
Aqwelina
Na wengineo.
Magufuli yupo siti ya mbele mahali pema peponi!Msemaji wa familia ya hayati Magufuli amesema mpendwa wao kabla ya kufa alibahatika kuongoza sala ya maombi ya kumuombea pamoja na nyimbo.
Pia alipata sakramenti ya toba na mafuta matakatifu.
Kadhalika Mufti wa Tanzania sheikh Zubeir alimuombea.
Katika maisha ya binadamu hii ni neema kubwa ambayo watu wengi huikosa wawapo kufani.
Binafsi sitaomboleza kwa kuvaa nguo nyeusi bali nitavaa nguo nyeupe kwa ajili ya shukrani kwa Mungu kwa maisha ya John hapa duniani.
Maendeleo hayana vyama!
Kwani wewe siku hizi siyo mzoga?
Magufuli yupo siti ya mbele mahali pema peponi!
Kwa hiyo baada ya hapo ndo akafa? Uongo mwingine bana cheeMsemaji wa familia ya hayati Magufuli amesema mpendwa wao kabla ya kufa alibahatika kuongoza sala ya maombi ya kumuombea pamoja na nyimbo.
Pia alipata sakramenti ya toba na mafuta matakatifu.
Kadhalika Mufti wa Tanzania sheikh Zubeir alimuombea.
Katika maisha ya binadamu hii ni neema kubwa ambayo watu wengi huikosa wawapo kufani.
Binafsi sitaomboleza kwa kuvaa nguo nyeusi bali nitavaa nguo nyeupe kwa ajili ya shukrani kwa Mungu kwa maisha ya John hapa duniani.
Maendeleo hayana vyama!
Acha uongoKuna makosa aina mbili katika imani;
1) Kumkosea Mungu.
2) Kumkosea Mwanaadamu.
Kuna baadhi ya makosa mungu hasamehi mpaka ukamuombe msamaha uliemkosea kwanza, mfano Kulala na Mke/Mume Wa Mtu. Hapa kwa mungu kosa ni kuzini, kwa mwanaadamu umemchafulia haki yake inayotambulika mpaka mbinguni.
Msamaha kwa mungu unakubalika kwa kuapa kutokurudia tena kosa, sambamba na kurekebisha ulipo kosea (Mfano umefunga mtu gerezani kwa chuki, unapaswa kumwachia huru kwanza na kumpa fidia stahiki kwa kifungo ulichompa, halafu ndio unaomba msamaha kwa mungu na kuapa kutokurudia tena kufunga mtu asie na hatia - Ukiua mtu asie na hatia, unapaswa kukiri kosa na kuwaomba msamaha wana familia kwanza then unarudi kwa mungu kutubia na kuapa kutokurudia tena kuua).
Then walio dhulumiwa na kufungwa magerezani kwa chuki basi aliwaachia kabla ya kutubia dhambi zake?
Alikwenda kuwaomba msamaha familia za waliopoteza maisha yao kwa kivuli cha watu wasiojulikana?
Alirudisha haki za watu waliopewa kesi za uhujumu uchumi ili walipishwe fidia?
Alirudisha haki za watu waliobambikozwa KODI na MAKOSA iwe ya trafik barabarani n.k?
Mkuu msemaji wa familia amesema alikuwa anaimba means alikuwa bado hajafariki,sijapenda pm alivyotuongopea kuwa ni mzima anatusalimia!!Hao watu Mashekhe na Maaskofu walikwenda mzee alikuwa keshazimika. Sasa hiyo sala ya toba aliongozwa akiwa Marehemu?
Umedadavua vema kama hakufanya hayo ni ngumu kupata msamaha maana Mungu keshasema wazi wazi hiviKuna makosa aina mbili katika imani;
1) Kumkosea Mungu.
2) Kumkosea Mwanaadamu.
Kuna baadhi ya makosa mungu hasamehi mpaka ukamuombe msamaha uliemkosea kwanza, mfano Kulala na Mke/Mume Wa Mtu. Hapa kwa mungu kosa ni kuzini, kwa mwanaadamu umemchafulia haki yake inayotambulika mpaka mbinguni.
Msamaha kwa mungu unakubalika kwa kuapa kutokurudia tena kosa, sambamba na kurekebisha ulipo kosea (Mfano umefunga mtu gerezani kwa chuki, unapaswa kumwachia huru kwanza na kumpa fidia stahiki kwa kifungo ulichompa, halafu ndio unaomba msamaha kwa mungu na kuapa kutokurudia tena kufunga mtu asie na hatia - Ukiua mtu asie na hatia, unapaswa kukiri kosa na kuwaomba msamaha wana familia kwanza then unarudi kwa mungu kutubia na kuapa kutokurudia tena kuua).
Then walio dhulumiwa na kufungwa magerezani kwa chuki basi aliwaachia kabla ya kutubia dhambi zake?
Alikwenda kuwaomba msamaha familia za waliopoteza maisha yao kwa kivuli cha watu wasiojulikana?
Alirudisha haki za watu waliopewa kesi za uhujumu uchumi ili walipishwe fidia?
Alirudisha haki za watu waliobambikozwa KODI na MAKOSA iwe ya trafik barabarani n.k?
Mpako wa mafuta sio kanuni ya Mungu kumsamehe mtu makosa yakeAkimuomba mola wake inatosha na ndio maana ya mpako wa mafuta matakatifu kwetu sisi wakatoliki ni maana kubwa sana.
Anza wewe kwanza kuwaomba uliowakoseaAngewaomba na msamaha wote aliowakosea.