Isakhamisi
JF-Expert Member
- Sep 5, 2019
- 387
- 448
Waliookotwa kwenye vipoloR.I.P
Ben Saanane
Azory Gwanda
Lwajabe
Aqwelina
Na wengineo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waliookotwa kwenye vipoloR.I.P
Ben Saanane
Azory Gwanda
Lwajabe
Aqwelina
Na wengineo.
Naomba handle yako ya twitter niku follow mwana wa pakayaHiyo sala aliongoza akiwa kwenye ventilator? [emoji849]
Acheni kupotosha,huyo mwanafamilia na yeye kama kasema hivyo tuna mashaka nae,kifo cha JPM kina utata kwa sababu ya kazi kubwa aliyokua anafanya ya kuwakomesha washenziMsemaji wa familia ya hayati Magufuli amesema mpendwa wao kabla ya kufa alibahatika kuongoza sala ya maombi ya kumuombea pamoja na nyimbo.
Pia alipata sakramenti ya toba na mafuta matakatifu.
Kadhalika Mufti wa Tanzania sheikh Zubeir alimuombea.
Katika maisha ya binadamu hii ni neema kubwa ambayo watu wengi huikosa wawapo kufani.
Binafsi sitaomboleza kwa kuvaa nguo nyeusi bali nitavaa nguo nyeupe kwa ajili ya shukrani kwa Mungu kwa maisha ya John hapa duniani.
Maendeleo hayana vyama!
===
Msemaji wa familia ya Hayati Magufuli Ngusa Samike amesema "kabla ya kifo chake Rais Magufuli aliongoza sala na nyimbo akiwa na Madaktari na Wauguzi wake."
Alisema kabla ya kifo pia, "Mwadhama Polycap Kardinali Pengo na Paroko wa Parokia ya St. Peter Padre Alister Makubi walimpatia Rais Magufuli huduma ya kiroho ya mpako mtakatifu,"
"Pia Shekhe Mkuu wa Tanzania Mufti Aboubakar Zubeir naye alimfanyia maombi kabla ya kifo chake."
Chochote kilichofungwa duniani na mbinguni kimefungwaNadhani uanaongea kishabiki..
Mlango wa kumrudia Mungu upo mpaka dakika ya mwisho
Hapo ndio mwisho wa upandaji
Wewe ni mkatoliki then unapingana na ndugu zako walio mpaka mafuta matakatifuChochote kilichofungwa duniani na mbinguni kimefungwa
wapi nimesemq hivyo?Kwa hiyo mtu akionyesha mapenzi kwa Magufuli tu inatosha kuwa mzalendo?
R.I.P
Ben Saanane
Azory Gwanda
Lwajabe
Aqwelina
Na wengineo.
Bonge la point[emoji122][emoji122][emoji122]Ujinga unatuumiza sana.
Ukweli ni kwamba, ukibahatika kuomba msamaha muda mfupi kabla ya kifo chako, 100% unakuwa umepokelewa na Mungu.
Lakini pia ikumbukwe kuwa, hukumu ya Mungu si kama ya mwanadamu. Mungu haangalii kosa ulilofanya bali anaangalia sababu/dhamira iliyopelekea wewe kufanya kosa hilo.
Kwa mfano, unakutana na mtu amechukua sumu, na anasema kabisa kwamba anakwenda kutia sumu maji ya mto unaotumiwa na maelfu ya watu na wanyama wengine. Bila kuchelewa unamnyonga papo kwa papo.
Katika kesi hii, Mungu hataangalia kosa ulilofanya bali ataangalia zaidi dhamira yako kufanya hivyo, ambayo ni kuokoa maelfu ya watu ambao wangekufa kutokana na sumu ambayo ingetiwa mtoni.
Lakini, wengi wanapiga kelele eti ooh, aliua watu ingawa hawaleti hoja za msingi.
Tanzania ina watu takribani milioni 60. Kama ni kweli, tujiulize, kwa nini katika watu milioni 60 wachache tu kati yao ndo wauawe? Wamefanya au walidhamiria kuleta majanga gani katika Nchi?
Kwenye hili, tuache ujinga, tusihukumu kitu tusichokijua.
Ungeyajua maandiko usingeandika upuuzi huuMsemaji wa familia ya hayati Magufuli amesema mpendwa wao kabla ya kufa alibahatika kuongoza sala ya maombi ya kumuombea pamoja na nyimbo.
Pia alipata sakramenti ya toba na mafuta matakatifu.
Kadhalika Mufti wa Tanzania sheikh Zubeir alimuombea.
Katika maisha ya binadamu hii ni neema kubwa ambayo watu wengi huikosa wawapo kufani.
Binafsi sitaomboleza kwa kuvaa nguo nyeusi bali nitavaa nguo nyeupe kwa ajili ya shukrani kwa Mungu kwa maisha ya John hapa duniani.
Maendeleo hayana vyama!
===
Msemaji wa familia ya Hayati Magufuli Ngusa Samike amesema "kabla ya kifo chake Rais Magufuli aliongoza sala na nyimbo akiwa na Madaktari na Wauguzi wake."
Alisema kabla ya kifo pia, "Mwadhama Polycap Kardinali Pengo na Paroko wa Parokia ya St. Peter Padre Alister Makubi walimpatia Rais Magufuli huduma ya kiroho ya mpako mtakatifu,"
"Pia Shekhe Mkuu wa Tanzania Mufti Aboubakar Zubeir naye alimfanyia maombi kabla ya kifo chake."
MzilankendeSasa hivi Anawaongoza Malaika Huko
Mkuu usimpake mafuta asiyostahili mareheme.Msemaji wa familia ya hayati Magufuli amesema mpendwa wao kabla ya kufa alibahatika kuongoza sala ya maombi ya kumuombea pamoja na nyimbo.
Pia alipata sakramenti ya toba na mafuta matakatifu.
Kadhalika Mufti wa Tanzania sheikh Zubeir alimuombea.
Katika maisha ya binadamu hii ni neema kubwa ambayo watu wengi huikosa wawapo kufani.
Binafsi sitaomboleza kwa kuvaa nguo nyeusi bali nitavaa nguo nyeupe kwa ajili ya shukrani kwa Mungu kwa maisha ya John hapa duniani.
Maendeleo hayana vyama!
===
Msemaji wa familia ya Hayati Magufuli Ngusa Samike amesema "kabla ya kifo chake Rais Magufuli aliongoza sala na nyimbo akiwa na Madaktari na Wauguzi wake."
Alisema kabla ya kifo pia, "Mwadhama Polycap Kardinali Pengo na Paroko wa Parokia ya St. Peter Padre Alister Makubi walimpatia Rais Magufuli huduma ya kiroho ya mpako mtakatifu,"
"Pia Shekhe Mkuu wa Tanzania Mufti Aboubakar Zubeir naye alimfanyia maombi kabla ya kifo chake."
Mkuu Magufuli alikuwa anamwamini Mungu Yehova kupitia Yesu Kirsto! Elewa imani hiyo nitofauti nayakwako! Endelea kuabudu majini! Mungu wetu anaupendo ukimuomba msamaha anasamehe!Mkuu usimpake mafuta asiyostahili mareheme.
Magufuli alijua hatma yake na malipo ya dhambi za kukusudia na kupangwa ni hapahapa duniani.
Karma is real, you reap what you sow.
Mtu anaye mwamini Mungu wa kweli haui mtu kwa roho ya kisasi, haibii kondoo wake, hatukani ovyo wananchi wake,kama ulivyo ambiwa kaa kwako na mavi yako!!!Mkuu Magufuli alikuwa anamwamini Mungu Yehova kupitia Yesu Kirsto! Elewa imani hiyo nitofauti nayakwako! Endelea kuabudu majini! Mungu wetu anaupendo ukimuomba msamaha anasamehe!
Kuna ukweli hapaMimi binafsi, bila chembe hata moja ya unafiki, naamini kwa 98% JPM yupo Mbinguni pamoja na Malaika wa Mungu.
Watanzania, tutaacha lini kufikiri kipurure namna hiyo?
Ukweli ni kwamba, Rais legelege/ mtepetevu huua watu wengi mara mia zaidi ya Rais mwajibikaji kama alivyokuwa JPM.
Kwa maana hiyo, JPM katika uongozi wake ameokoa maisha ya watanzania wengi zaidi kuliko Rais yeyote yule ukiachana na Nyerere.
Maeneo ambayo JPM ameokoa maisha ya watanzania wengi ni kama vile:-
1. AJALI ZA BARABARANI.
Ajali za barabarani ambazo zilikuwa zikigharimu maisha ya watanzania wengi zilikwisha kutokana na uongozi shupavu wa JPM.
2.VIBAKA MITAANI.
Vibaka mitaani walikwisha kutokana na Askari kufanya kazi kwa bidii wakiogopa kukutana na mkono wa JPM.
3.WAGONJWA MAHOSPITALINI.
Wagonjwa wengi mahospitalini wameokoa maisha yao kutokana na Madaktari kuacha uzembe kazini kwa kuogopa kukutana na mkono wa JPM.
Hayo ni maeneo machache tu niliyoyataja.
Kwa hiyo, Rais legelege/ mtepetevu hawezi kusimamia mambo hayo kwa nguvu zote na kusababisha kuzaliwa kwa majanga ya kila aina katika Nchi.
Majanga hayo ni pamoja na uzembe makazini, Rushwa, uonevu, wizi wa mali za umma, unyang'anyi, vibaka kutapakaa mitaani, utapeli, uhujumu wa mali za umma nk.
Hayo yote huleta madhara makubwa sana kwa Wananchi.
JPM alijitahidi sana kupigania hayo, hivyo, anakosaje kuingia Mbinguni?
Rais legelege anaweza asifike Mbinguni kutokana na kutoweza kuyasimamia hayo na hatimaye kusababisha madhara makubwa kabisa kwa Wananchi.
Tatizo watu hawajaamini kuwa yule mwovu alishakufa zamani na sasa mwili wake unaliwa na funza!Mke wa Azory alihojiwa BBC aisee hadi huruma anasema kinachomtesa zaidi ni mtoto wake Mdogo amsumbuae KILA siku "mama baba yupo wapi ulisema atarudi mbona arudi" kumbuka wakati Azory anatekwa shambani mkewe wake alikuwa ni mjamzito ndo hicho kitoto kishakuwa kikubwa.
So laana hii itawafikia wote walioshiriki kwenye mchakato mzima wa utekaji akiwemo dereva na watu wale wanne waliokuwa kwenye gari siku ya mateko,Mungu ameona na alishaanza na boss wao so nao wajiandae,wote walioshiriki kufanikisha mpango wa shetani kuwatoa kafara Lwajaba, Azory,ben,Elisha Eliya,Dilunga,na wengi tu wameuliwa kwa kuhisiwa ni kigogo,pia laana hii isiwaache hata wale askari waliokuwa zamu kulinda Area D na kuruhusu magaidi wakamshambulia Lisu Dodoma na wote waliotolewa kafara na shetani.Shetani hana huruma akamtoa kafara mjumbe wake baada ya kukiuka mashariti.