Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
- Thread starter
- #21
Ukipangiwa kazi ya mbali (nje ya nchi) na ukae huko miaka mitano, ndio urudi kuiona familia, utaweza?90% ya uwajibikaji wako iwe ni kazi.
Ukipangiwa kazi ya mbali (nje ya nchi) na ukae huko miaka mitano, ndio urudi kuiona familia, utaweza?90% ya uwajibikaji wako iwe ni kazi.
Kwa hiyo, uko tayari kutelekeza familia kwa ajili ya kazi?Familia haizai kazi ila kazi inazaa familia. Cha kwanza ni kazi.
Ukipangiwa kazi ya mbali (nje ya nchi) na ukae huko miaka mitano, ndio urudi kuiona familia, utaweza?Utaiendeshaje familia bila kazi inayokuingizia kipato ili uitunze hiyo familia? Unataka uwe unawakumbatia tu ndani na kuwaonesha upendo wa hali ya juu siku nzima huku matumbo yao yakikoroma kwa njaa kali? Fanya kazi upate pesa ya kuonesha upendo kwa familia yako. Kwa swali lako nadhani jibu umeshalipata kwa ujumbe wangu
Baada ya kuipa kipaumbele familia, utatumia mbinu zipi za kujipatia kipato ili uilishe familia?Familia kwanza, kazi inafuata. Kwa wengine bila ya familia utulivu unakosekana kazini.
Wengine ndio maisha yetu haya, ila miaka mitano hapana siwezi.Ukipangiwa kazi ya mbali (nje ya nchi) na ukae huko miaka mitano, ndio urudi kuiona familia, utaweza?
Sijamaanisha kazi ipuuzwe au isifanyike kabisa kwa sababu ya familia. Nimemaanisha familia inatakiwa ipewe hadhi ya juu halafu kazi inafuatia.Baada ya kuipa kipaumbele familia, utatumia mbinu zipi za kujipatia kipato ili uilishe familia?
Sababu ni nini?Wengine ndio maisha yetu haya, ila miaka mitano hapana siwezi.
Mfano, ukipangiwa kazi ya mbali (nje ya nchi) na ukatakiwa ukae huko kwa miaka mitano, ndio urudi kuiona familia, utaweza?Sijamaanisha kazi ipuuzwe au isifanyike kabisa kwa sababu ya familia. Nimemaanisha familia inatakiwa ipewe hadhi ya juu halafu kazi inafuatia.
Kwa ufupi vyote kwa pamoja ni muhimu. Ila kila mtu kuna kile anachoanza nacho.
Ina evaporate stress zangu usiku kucha!Hii inakusaidiaje kwenye magumu ya kidunia?
Mfano, ukipangiwa kazi ya mbali (nje ya nchi) na ukae huko miaka mitano, ndio urudi kuiona familia, utaweza?Unazungumzia kazi gani kwanza?
Uku mitaani naona watu wengi wana familia ila kazi hawana na maisha yanaenda ikitokea kubeba tofali wapo,saidia fundi twende,kulima twende nk.
Wewe unazungumzia kazi gani ?
Siendi. Full stop. Unless otherwise waruhusu niende nayo.Mfano, ukipangiwa kazi ya mbali (nje ya nchi) na ukatakiwa ukae huko kwa miaka mitano, ndio urudi kuiona familia, utaweza?
Ohh kumradhi nilijishaau shekhee ni gambe “kwanza”Neno "kwanza" haujaliandika.
Marhabaaa!Ohh kumradhi nilijishaau shekhee ni gambe “kwanza”
Hapo unakuwa unaogopa nini?Siendi. Full stop. Unless otherwise waruhusu niende nayo.
Kubalance 50/50 ,tafuta tutorial ya Dr Kweka wa Muhimbili na kuna clip za Mauki zinaweza kuzisaidia. Ila kwa scenario yako ni watu wachache mnoo wanao fanya kazi nje ya nchi, halafu akili ya binadamu sio static ni dynamic in nature utapata njia tu ya kuwa na familia yako.Kiuwajibikaji, familia na kazi unazipa asilimia ngapi? Mfano, kazini kwako wakakupangia kazi nje ya nchi, na uende peke yako ukakae kwa muda wa miaka 2 ndio urudi, Je utaweza?
Unazungumzia walio oa au?Wapo wanaosema, kazi ndio kila kitu; wapo tayari kuipambania kazi zao kuliko familia, wakiamini familia ikiharibika kazi itamsitiri kwa kumpatia fedha na kuanzisha familia nyingine.
Je, wewe kwa mtazamo wako, kwako ni kazi kwanza au familia kwanza?
Walio oa tu; hao ambao hawajaoa hawajakuwa bado.Unazungumzia walio oa au?
Na kwa nini uwaze mada kama hii?Wapo wanaosema, kazi ndio kila kitu; wapo tayari kuipambania kazi zao kuliko familia, wakiamini familia ikiharibika kazi itamsitiri kwa kumpatia fedha na kuanzisha familia nyingine.
Je, wewe kwa mtazamo wako, kwako ni kazi kwanza au familia kwanza?