Familia kwanza au kazi kwanza?

Familia kwanza au kazi kwanza?

Kazi ndio inalea familia...bila ya kazi lazima familia ivunjike maana mwanamume ni majukumu. Kila jicho katika familia linakutazama wewe kama huna pesa hakuna atakaekuelewa.
Mfano, kazini kwako wakakupangia kazi nje ya nchi, na uende peke yako ukakae kwa muda wa miaka 2 ndio urudi, Je utaweza?
 
Mfano, kazini kwako wakakupangia kazi nje ya nchi, na uende peke yako ukakae kwa muda wa miaka 2 ndio urudi, Je utaweza?
as long as they pay me naenda. Ukishapita miaka 35 huna tena cha kupoteza bro. Kama ndoa imevuka miaka 10 na mna watoto basi wanandoa hamuwezi kuwaza tu makojozi..ni muda ambao mna sacrifice faragha yenu kwa ajili ya ustawi wa watoto.
 
Unaenda, baada ya kurudi unasikia mlinzi wako amezaa mapacha na mkeo, utajisikiaje?
 
Kazi babanguuuu familia ni ya tatu km nne kwenye list yangu

Unapolima pamejaa lulu,
Usipoteze fursa ndugu,
Bahati ni yako haraka,
Wahi mjini,

Watoto wako ndiyo urithi wako wa daima,
Wafaidi matunda ya jasho lako wa kwanza,

Eeh ndugu acha kubonda raha,
Hazina manufaa, kwa familia yako
(Mpendwa) Yenye thamani

Pipi za ulimwengu hazina manufaa kwa familia yako (mpendwa) yenye thamani
 
Kwa mazingira hayo, hutakiwi kuwa na familia kabisa
 
as long as watoto wangu walo salama basi haina shida. Wanawake wapo wengi...ukikaa kuwaza mwanamke huwezi kupiga hatua maishani
Kuna wazee wamezeeka vibaya, wanajisongea ugali wao wenyewe.
 
Back
Top Bottom