Familia kwanza au kazi kwanza?

Ukipangiwa kazi ya mbali (nje ya nchi) na ukae huko miaka mitano, ndio urudi kuiona familia, utaweza?
 
Baada ya kuipa kipaumbele familia, utatumia mbinu zipi za kujipatia kipato ili uilishe familia?
Sijamaanisha kazi ipuuzwe au isifanyike kabisa kwa sababu ya familia. Nimemaanisha familia inatakiwa ipewe hadhi ya juu halafu kazi inafuatia.

Kwa ufupi vyote kwa pamoja ni muhimu. Ila kila mtu kuna kile anachoanza nacho.
 
Mfano, ukipangiwa kazi ya mbali (nje ya nchi) na ukatakiwa ukae huko kwa miaka mitano, ndio urudi kuiona familia, utaweza?
 
Unazungumzia kazi gani kwanza?
Uku mitaani naona watu wengi wana familia ila kazi hawana na maisha yanaenda ikitokea kubeba tofali wapo,saidia fundi twende,kulima twende nk.
Wewe unazungumzia kazi gani ?
 
Mfano, ukipangiwa kazi ya mbali (nje ya nchi) na ukae huko miaka mitano, ndio urudi kuiona familia, utaweza?
 
Kiuwajibikaji, familia na kazi unazipa asilimia ngapi? Mfano, kazini kwako wakakupangia kazi nje ya nchi, na uende peke yako ukakae kwa muda wa miaka 2 ndio urudi, Je utaweza?​
Kubalance 50/50 ,tafuta tutorial ya Dr Kweka wa Muhimbili na kuna clip za Mauki zinaweza kuzisaidia. Ila kwa scenario yako ni watu wachache mnoo wanao fanya kazi nje ya nchi, halafu akili ya binadamu sio static ni dynamic in nature utapata njia tu ya kuwa na familia yako.
 
Kazi ndio inalea familia...bila ya kazi lazima familia ivunjike maana mwanamume ni majukumu. Kila jicho katika familia linakutazama wewe kama huna pesa hakuna atakaekuelewa.
 
Unazungumzia walio oa au?
 
Na kwa nini uwaze mada kama hii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…