Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
- Thread starter
-
- #41
Mfano, kazini kwako wakakupangia kazi nje ya nchi, na uende peke yako ukakae kwa muda wa miaka 2 ndio urudi, Je utaweza?Kazi ndio inalea familia...bila ya kazi lazima familia ivunjike maana mwanamume ni majukumu. Kila jicho katika familia linakutazama wewe kama huna pesa hakuna atakaekuelewa.
Mada fikirishi, zinatuandaa kwa lolote lile linaloweza kutokeaNa kwa nini uwaze mada kama hii?
as long as they pay me naenda. Ukishapita miaka 35 huna tena cha kupoteza bro. Kama ndoa imevuka miaka 10 na mna watoto basi wanandoa hamuwezi kuwaza tu makojozi..ni muda ambao mna sacrifice faragha yenu kwa ajili ya ustawi wa watoto.Mfano, kazini kwako wakakupangia kazi nje ya nchi, na uende peke yako ukakae kwa muda wa miaka 2 ndio urudi, Je utaweza?
Unaenda, baada ya kurudi unasikia mlinzi wako amezaa mapacha na mkeo, utajisikiaje?as long as they pay me naenda. Ukishapita miaka 35 huna tena cha kupoteza bro. Kama ndoa imevuka miaka 10 na mna watoto basi wanandoa hamuwezi kuwaza tu makojozi..ni muda ambao mna sacrifice faragha yenu kwa ajili ya ustawi wa watoto.
Hahahahaaa kwa hiyo, unatudogoesha mkuu?Walio oa tu; hao ambao hawajaoa hawajakuwa bado.
Kwa hiyo hapo unaona umeandika mada fikirishi?Mada fikirishi, zinatuandaa kwa lolote lile linaloweza kutokea
as long as watoto wangu walo salama basi haina shida. Wanawake wapo wengi...ukikaa kuwaza mwanamke huwezi kupiga hatua maishaniUnaenda, baada ya kurudi unasikia mlinzi wako amezaa mapacha na mkeo, utajisikiaje?
Kwa mazingira hayo, hutakiwi kuwa na familia kabisaKazi babanguuuu familia ni ya tatu km nne kwenye list yangu
Unapolima pamejaa lulu,
Usipoteze fursa ndugu,
Bahati ni yako haraka,
Wahi mjini,
Watoto wako ndiyo urithi wako wa daima,
Wafaidi matunda ya jasho lako wa kwanza,
Eeh ndugu acha kubonda raha,
Hazina manufaa, kwa familia yako
(Mpendwa) Yenye thamani
Pipi za ulimwengu hazina manufaa kwa familia yako (mpendwa) yenye thamani
Nenda kaoe, ukishaanza kukwangua ndevu na kiwembe ni ishara ya kufikia umri wa kuoa.Hahahahaaa kwa hiyo, unatudogoesha mkuu?
Inabidi uoe kaziKazi kwanza
Ndiyo maana nikaeka kwenye chaguo la nne hivyo naweza enda kutumikia kanisaKwa mazingira hayo, hutakiwi kuwa na familia kabisa
Kichwa chako kina mashina mangapi ya nywele?Kwa hiyo hapo unaona umeandika mada fikirishi?
Inabidi uoe kazi
Utakuwa unavizia sadaka za wauminiNdiyo maana nikaeka kwenye chaguo la nne hivyo naweza enda kutumikia kanisa
Leo umekula tikiti kweli?Ningechagua familia kwanza ingebidi nioe familia
Leo umekula tikiti kweli?
Ok.... mkuu! ila mimi ndo kwanzaaaaa bado za kuhesabu.Nenda kaoe, ukishaanza kukwangua ndevu na kiwembe ni ishara ya kufikia umri wa kuoa.
Kuna wazee wamezeeka vibaya, wanajisongea ugali wao wenyewe.as long as watoto wangu walo salama basi haina shida. Wanawake wapo wengi...ukikaa kuwaza mwanamke huwezi kupiga hatua maishani