Familia kwanza au kazi kwanza?

Sasa unataka nikapange, halafu nianze kupata stress mapema hivi, hata ubongo haujakomaa maana neuroscience wanasema mpaka ufike angalau 21
Kama hujafikia huo umri tulia nyumbani kwanza.
 
Vyote kwa pamoja
 
KAZI Kwanza familia zinakula kupitia kazi
 
Kijenge kiuchumi then tafuta mwenza Mbaye elewana kila kila mema ya nchi.
Mfano upo kwenye ndoa miaka 10 na umeajiriwa, ofisi ikakutuma uende ukafanye kazi nchi ya mbali na hutakiwi kwenda na familia na ukae huko miaka 5 ndio urudi, ingawa watakulipa vizuri, je utaweza kwenda?​
 
Jadili jambo hilo na mwenzio, ndoa ya miaka 10 imekomaa kiasi cha kutokushindwa kuja na jibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…