Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I don't think that, hebu tue na Imani na Mama Samia tatizo lililopo ni kua watanzania hatuna imani kabisa na Samia sielewi kwa sababu ni mwanamke au? In my believe we are still in safe hands Mkuu.Hii reaction ya wananchi na jinsi walivyo omboleza kifo cha Magufuli,sends a very special and clear message to impostors and capitalists mkuu.What they are saying is,your hands off Tanzania and our resources are off limits.
Mkuu sijaongelea juu ya wananchi kutokuwa na imani na Mama Samia Suluhu.Nimeongelea message ambayo maombolezo haya yanapeleka kwa imposters and imperialists.Read between the lines.Maombolezo haya in short yame strongly endorse Magufuli's leadership na ni heshima kubwa mno kwake.Itakuwa busara na hekima sana kama Mama Samia Suluhu ataliona hili.I don't think that, hebu tue na Imani na Mama Samia tatizo lililopo ni kua watanzania hatuna imani kabisa na Samia sielewi kwa sababu ni mwanamke au? In my believe we are still in safe hands Mkuu.
Lakini pia nyumbani walipotoka Kimara ,yaani nyumba nzima hakuna aliyefikiria chochote juu ya kuwapeleka watoto taifa?Aiseee ila nawalaumu wote waliofanikisha hili zoezi la kuaga
Mambosasa halafu aache mambo ya kizamaniKwa hiyo waliokufa ni hao tu watano wa familia moja?
Mambosasa tunaomba aache mambo ya kizamani. Zama za kuficha vifo vya watu mwisho ziliishia kwa kifo cha Magufuli.
Walikuwa na gari yao mzee...!! Yani baba wa familia huyu anafaa kula bakoraawatu wa5 wote walitoka nyumbani wakapanda daladala kwenda kumuaga marehemu ? iyo familia ina matatizo
Mama mihemko hii ni justified,kwa kuwa we are going to the unknown.Halafuu,angalau "kwa sehemu" we know Mama Samia,lakini mme wake hatumjui na ana influence kubwa sana kwenye maamuzi na utendaji wa Mama Samia.Who exactly is Hafidh Ameir the husband of Mama Samia Suluhu,why is he keeping such a low profile and what are his affiliations?These are genuine questions an intelligent person must ask.Maana isije ikawa tuko mikononi mwa Bill Gates,Anthony Fauci na Rockefeller kabisa.Kina mama tupunguze mihemko.
Sasa zile ilani za uchaguzi za vyama vya siasa huwa za nini?Maendeleo hayana chama lipewe hati miliki