Familia moja yapoteza watu 5 waliokufa uwanja Uhuru, kamanda Mambosasa kutoa taarifa Jumanne

Familia moja yapoteza watu 5 waliokufa uwanja Uhuru, kamanda Mambosasa kutoa taarifa Jumanne

Hii reaction ya wananchi na jinsi walivyo omboleza kifo cha Magufuli,sends a very special and clear message to impostors and capitalists mkuu.What they are saying is,your hands off Tanzania and our resources are off limits.
I don't think that, hebu tue na Imani na Mama Samia tatizo lililopo ni kua watanzania hatuna imani kabisa na Samia sielewi kwa sababu ni mwanamke au? In my believe we are still in safe hands Mkuu.
 
I don't think that, hebu tue na Imani na Mama Samia tatizo lililopo ni kua watanzania hatuna imani kabisa na Samia sielewi kwa sababu ni mwanamke au? In my believe we are still in safe hands Mkuu.
Mkuu sijaongelea juu ya wananchi kutokuwa na imani na Mama Samia Suluhu.Nimeongelea message ambayo maombolezo haya yanapeleka kwa imposters and imperialists.Read between the lines.Maombolezo haya in short yame strongly endorse Magufuli's leadership na ni heshima kubwa mno kwake.Itakuwa busara na hekima sana kama Mama Samia Suluhu ataliona hili.
 
ExJOW29W8AE2ij9.jpeg


Poleni wafiwa ila next time muomboleze mkiwa majumbani
 
Tuzidishe maombi maana bado kuna Mwanza na Chato huenda jembe likaondoka na vichwa vya kutosha tu
 
Yaani Hugo mama sijui alifikiria mini maana nasikia alitoka kwake alfajili SAA 11 sasa alitumia usafiri gani kwa kwrli wamama tuache ubishi na ujuaji
 
watu wa5 wote walitoka nyumbani wakapanda daladala kwenda kumuaga marehemu ? iyo familia ina matatizo
 
Kwa hiyo waliokufa ni hao tu watano wa familia moja?

Mambosasa tunaomba aache mambo ya kizamani. Zama za kuficha vifo vya watu mwisho ziliishia kwa kifo cha Magufuli.
Mambosasa halafu aache mambo ya kizamani
 
Kina mama tupunguze mihemko.
Mama mihemko hii ni justified,kwa kuwa we are going to the unknown.Halafuu,angalau "kwa sehemu" we know Mama Samia,lakini mme wake hatumjui na ana influence kubwa sana kwenye maamuzi na utendaji wa Mama Samia.Who exactly is Hafidh Ameir the husband of Mama Samia Suluhu,why is he keeping such a low profile and what are his affiliations?These are genuine questions an intelligent person must ask.Maana isije ikawa tuko mikononi mwa Bill Gates,Anthony Fauci na Rockefeller kabisa.
 
Back
Top Bottom